Kanisa Marekani latangaza kuvaa nguo za kiafrika kumheshimu Mandela!

Mchungaji maarufu  Otis Moss lll wa kanisa la Trinity United Church of Christ,  aliandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuwaomba washirika na wageni wavae mavazi ya kiafrika kwenye ibada ya Jumapili tarehe 08 Dec 2013 ambapo watamkumbuka Nelson Mandela kwenye Ibada hiyo.

waombolezaji

Wakati huo huo, wachungaji wengine wa Kikristo wamekuja juu na kukemea kanisa na wa wakristo kuacha kufanya Ibada ya wafu.

@TrinityChicago family pleases wear African Sunday as we will take time in service to honor @NelsonMandela in worship.
#ThankYouMadiba.

Advertisements

3 thoughts on “Kanisa Marekani latangaza kuvaa nguo za kiafrika kumheshimu Mandela!

  1. Naomba mawasliano ya mchungaji Ots moss wa kanisa la Trinity united church of christ nahitaji kumwarika huyo mtumishi aje kutubariki kwa Neno

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s