Maombi mwezi January!

maombi

SG tutakuwa na maombi kuanzia tarehe 6 – 31 January 2014. Unataka Mungu akufanyie nini mwaka huu? Ungependa kushiriki maombi haya? Ungependa tuombe kwa ajili yako?

Tarehe 6-12 January 2014

Unaweza kuomba popote ulipo. Kuanzia tarehe 6 January ni maombi ya Toba, tarehe saba hadi 12 January msihi Mungu yale unayotaka Mungu afanye kwenye maisha yako, unaweza kuorodhesha ukaomba mawili au matatu kwa siku au jinsi utakavyoweza.

Kwa tutakaofunga ni asubuhi mpaka jioni, saa tatu usiku tutaomba kila mmoja kwa jinsi yake. Ukiweza kufunga masaa 24 ni vizuri pia.

Tutajulishana maombi ya wiki Ijayo, ikiwa ungependa kutumiwa ujumbe kukumbushwa au ungependa kuombewa tafadhali tuma email strictlygospel@yahoo.co.uk

Ikiwa ungependa kuanza maisha yako na Bwana Yesu na kupata mafundisho sahihi usisite kuwasiliana nasi kwa email tajwa,

Tafadhali karibu sana!

1Yohana 5:14-15

Advertisements

2 thoughts on “Maombi mwezi January!

  1. Ninashukuru sana kwa SG na ungozi wake kutukumbusha maombi. Nami nitajitahidi kushiriki. Ninaamini Mungu atatubariki wa kufanya hivyo

  2. Bwana Yesu asifiwe,   Napenda mnikumbuke katika maombi, Mapenzi ya Mungu yatimizwe, nimetafuta kazi huu mwaka wa tatu  ni fundi magari daraja la kwanza na Operator wa mashine za kuchoronga migodini, fundi seremala na elimu yangu ya kidato cha nne, Nimekuwa wa kukopa tu, hata kiasi nashindwa kulipa madeni mengine, Wadogo wangu waliokuwa wanatengemea kile nachokipata kwa ajili ya shule hakipo tena hata elimu wamesimama na wengine wanasuasua, baraka za rohoni na mwilini niweze kuzipata kwa mapenzi ya Mungu,       Mbarikiwe tuko Pamoja katika maombi                   Wenu

      Siaka S Nyanchiwa    Internet cafe andCollege Controller P.o Box  70 Serengeti, Mara, Tanzania. P.o Box 417 Tarime,Mara, Tanzania.            Nyamwaga Street, Tarime.                

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s