Unabii wa Mwalimu Yitzhak Kaduri (2006) kuhusu Ariel Sharon.

sharon..
Kabla ya kufariki mwaka 2006 akiwa na umri wa 108, aliacha ujumbe uliosomwa baada ya mwaka mmoja tangu afariki. Katika ujumbe huo mwalimu Kaduri au “Rabbi” alisema alikutana na Masihi ambaye amwambia atarudi upesi baada ya kifo ca Ariel Sharon.

Pia alitaja jina la Masihi ni Bwana Yesu Kristo. Waziri mkuu huyo wa zamani kwa sasa amepoteza fahamu tangu mwaka 2006.

–RoadTurn.com

Habari nyingine mchanganyiko 

Mtu aliyeuchanganya ulimwengu kwa kutangaza tarehe ya mwisho wa dunia akaweka mabango katika kona mbalimbali za jiji la Dar es salaam, na kutoa matangazo kwenye vyombo vya habari Bw.Harold Camping, alifariki dunia tangu Dec 15 2013.

Naye TB Joshua ujumbe wake mwaka huu 2014 anasema ni mwaka wa KUVUKA DARAJA

Kusikiliza ujumbe wote

Je wewe una ujumbe gani?

Advertisements

5 thoughts on “Unabii wa Mwalimu Yitzhak Kaduri (2006) kuhusu Ariel Sharon.

 1. BASI USIDANGANYIKE NA UJIO WA MTU AKIIGIZA NI YESU,ZINGATIA MANENO HAYA YA BIBLIA UTAMJUA MASIHI WAKWELI ATAKAPOSHUKA.
  UJIO WA YESU NI WA NAMNA HII.

  1. TUTAENDA KWAKE,HATAKANYAGA CHINI KWA UJI HUU WA PILI TUTAMLAKI MAWINGUNI.

  YOHANA 14:1-3
  “NITAKUJA TENA NIWAKARIBISHE KWANGU; ILI NILIPO MIMI, NANYI MWEPO.

  2. ATAFUNULIWA KATIKA UTUKUFU WAKE

  TITO 2:13
  “TUKILITAZAMIA TUMAINI LENYE BARAKA NA MAFUNUO YA UTUKUFU WA KRISTO YESU MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU.”

  3. ATAKUJA KAMA ALIVYOONEKANA AKIENDA

  MATENDO 1:11
  “..ATAKUJA JINSI HIYO MLIVYOMWONA AKIENDA ZAKE MBINGUNI.”

  4. KILA JICHO LITAMWONA

  UFUNUO 1:7
  “TAZAMA YUAJA NA MAWINGU NA KILA JICHO LITAMWONA.”

  5. MAOMBOLEZO KWA MATAIFA

  MATHAYO 24:30
  “NDIPO ITAKAPOONEKANA ISHARA YAKE MWANA WA ADAMU MBINGUNI; NDIPO MATAIFA YOTE YA ULIMWENGU WATAKAPOOMBOLEZA, NAO WATAMWONA MWANA WA ADAMU AKIJA JUU YA MAWINGU YA MBINGUNI PAMOJA NA NGUVU NA UTUKUFU MWINGI.”

  6. WAFU WATAFUFULIWA KWANZA

  1 WATHESALONIKE 4:16
  “NAO WALIOKUFA KATIKA KRISTO WATAFUFULIWA KWANZA.”

  7. WALIO HAI WATANYAKULIWA HEWANI NA WALIOFUFULIWA

  1 WATHESALONIKE 4:17
  “KISHA SISI TULIO HAI,TULIOSALIA, TUTANYAKULIWA PAMOJA NAO KATIKA MAWINGU,ILI TUMLAKI BWANA HEWANI; NAHIVYO TUTAKUWA PAMOJA NA BWANA MILELE.”

  8. MIILI ITABADILISHWA PAPO HAPO

  1 WAKORINTHO 15:52,53
  “..NASI TUTABADILIKA….”

  9. WAOVU WATAJARIBU KUJIFICHA LAKINI UTUKUFU WA BWANA UTAWALA.

  UFUNUO 6:15, 16
  “..WAKAJIFICHA KATIKA MAPANGO NA CHINI YA MIAMBA YA MILIMA, WAKIIAMBIA MILIMA NA MIAMBA,TUANGUKIENI,TUSITIRINI MBELE YA USO WAKE YEYE AKETIYE JUU YA KITI CHA ENZI, NA HASIRA YA MWANAKONDOO.”
  2 WATHESALONIKE 1:7,8
  “..NA KUWALIPA NINYI MTESWAO RAHA PAMOJA NA SISI; WAKATI WA KUFUNULIWA KWAKE BWANA YESU KUTOKA MBINGUNI PAMOJA NA MALAIKA WA UWEZA WAKE; KATIKA MWALI WA MOTO; HUKU AKIWALIPIZA KISASI WAO WASIOMJUA MUNGU, NA WAO WASIOITII INJILI YA BWANA WETU YESU;”

  10. WATAKATIFU WATASHANGILIA

  ISAYA 25:9
  “…KATIKA SIKU HIYO WATASEMA,TAZAMA, HUYU NDIYE TULIYEMNGOJA ATUSAIDIE. HUYU NDIYE BWANA TULIYEMGOJA NA TUSHANGILIE NA KUUFURAHIA WOKOVU WAKE.”

  11. DUNIA NZIMA WATAMWONA KWA WAKATI MMOJA

  MATHAYO 24:27
  “….KWA MAANA KAMA VILE UMEME UTOKAVYO MASHARIKI UKAONEKANA HATA MAGHARIBI HIVYO NDIVYO KUTAKAVYOKUWA KUJA KWAKE MWANA WA ADAMU.”

  12. MALAIKA NDIO WATAWATENGA WAOVU NA WEMA

  MATHAYO 13:49
  “..MALAIKA WATATOKEA WATAWATENGA WAOVU MBALI NA WENYE HAKI”

  13. WAFU WAOVU HAWATAFUFULIWA SIKU HIYO NA WATAKAOKUFA KWA MWALI WA UTUKUFU WATASUBIRI UFUFUO WA PILI BAADA YA MIAKA ELFU.

  UFUNUO 20:5
  “…HAO WAFU WALIOSALIA HAWAKUWA HAI, HATA ITIMIE ILE MIAKA ELFU”

  14. SHETANI ATAKUWA AMEFUNGWA HIYO MIAKA ELFU.

  UFUNUO 20:2
  “…AMBAYE NI IBILISI NA SHETANI,AKAMFUNGA MIAKA ELFU;”

  KUMBUKA MAMBO YEYOTE KINYUME NA MANENO HAYO YA BIBLIA NI UIGIZAJI WA SHETANI
  KUIFANYA DUNIA HII MAHALI PAKE. NA KUJIDAI NI MFALME WA AMANI,HAKI USAWA HUKU DHULUMA ZIKIENDELEA KILA KONA YA DUNIA. YESU NDIYE ALETAYE YERUSALEMU MPYA. YERUSALEMU MAANA YAKE MJI WA AMANI NA MFALME WAKE NI MFALME WA AMANI NA HAKI.(YESU NI KUHANI KWA MFANO WA MELKISEDEKI
  WAEBRANIA 7:2 “..TAFSIRI YA JINA LAKE KWANZA NI MFALME WA HAKI,TENA,MFALME WA “SALEMU” MAANA YAKE,MFALME WA AMANI”

  YERUSALEMU YA SASA ILIMKATAA MFALME WA AMANI NA KUMTOA MJINI NA KUMUUA NJE YA MALANGO. HIVYO ATAKUJA NA MJI MPYA WA YERUSALEMU.

  USISHANGAE KWA NINI DUNIA SASA INALETA SIASA ZA PEACE,JUSTICE, WAKATI MFALME WA HAKI NA AMANI HAJASHUSHA YERUSALEMU MPYA (YUPO MWINGINE ANAYETAKA KUCHUKUA NAFASI NA CHEO HICHO) KUTAKA KUIFANYA DUNIA HII ILIYOCHOKA KWA DHAMBI KWA AGENDA ZA UTUNZAJI MAZINGIRA,AMANI,HAKI. HUKU WAKIZIDI KUDHULUMU NA KUPOTEZA ROHO ZA WATU NA KUJIDAI KUHURUMIA MASIKINI.)

 2. RABBI DR. LOUIS FINKELSTEIN, MWALIMU WATALMUD, NA RAIS WA THEOLOJIA YA SEMINARY ZA KIYAHUDI MAREKANI ANASEMA:

  UFARISAYO ULIPELEKEA UTALMUD NA UTALMUD UKAWA URABI WA ZAMA ZA KATI,KISHA UKAJA URABI WA KISASA

  SOMA TALMUD: KITABU CHA WAAYAHUDI CHENYE KUTUNGWA BABELI NA KUBORESHWA BAADAE CHENYE MATUSI KWA WA MATAIFA, KUMKANA YESU KAMA MASIHA.

  MAKUNDI YA WAYAHUDI WA SASA:

  WAYAHUDI WA ORTHODOKSI (ORTHODOX JUDAISM)
  1. WANA MIHIMILI 13 YA IMANI YAO
  2. WANAAMINI KUJA KWA MASIHA ATAKA AYEWAKOMBOA

  WAYAHUDI WA HASIDI (HASIDIC JUDAISM)

  1. HUAMINI MTU YEYOTE ANAWEZA KUZALIWA NA AKAWA MASIHA KATIKA KIZAZI CHOCHOTE KATI YAO
  2. RABBI WAO MENACHEM MENDEL SCHNEERSON ALISEMA MASIHA WAO YUPO KARIBU SANA.
  3. HUCHUKULIA KOO ZAO NDDI MASIHA ATATOKEA

  WAYAHUDI WA KICONSERVATIVE

  1. HAWA HUSHIKA SANA FUNGU LA ISAYA 11 JUU YA CHIPUKIZI LA YESE, NAKULETA MAISHA MAZURI HAPA DUNIANI NA AMANI
  2. ISAYA 2:3
  3NA MATAIFA MENGI WATAKWENDA NA KUSEMA,NJONI TWENDE JUU MLIMANI KWA BWANA. 4……..NAO WATAFUA PANGA ZAO ZIWE MAJEMBE, NA MIKUKI YAO IWE MIUNDU; TAIFA HALITAINUA UPANGA JUU YA TAIFA LINGUINE, WALA HAWATAJIFUNZA VITA TENA KAMWE.

  MSIMAMO MBADALA

  WAYAHUDI WENGINE WALIAZIMIA KUJA NA MSIMAMO WA KUJA KWA MASIHI NA KUONDOA MGONGANO WA MAWAZO ULIONDOLEA MBALI MAWAZO YA GEORG WILHELM FRIEDRICH HEGEL NA MWANAFILOSOFIA WA UFARANSA NA WAYAHUDI KULETA MSIMAMO WA HAKI, UKWELI NA AMANI.
  MSIMAMO WA WAYAHUDI, UMEWACHANGANYA BAADHI YA WAKRISTO AMBAO PIA HUDHANI VITA YA AMAGEDONI. WENGINE WAKIOMBA SADAKA ZIPELEKWE ISRAELI KUJENGA TAIFA.

  MAFUNDISHO YA WAYAHUDI: NI KUMSUBIRI MASIHI ASIYETAJWA KATIKA TALMUD AJE AWAKOMBOEA
  MISIMAMO YA DINI ZOTE WANASUBIRI KWA KARIBU SANA UJIO

  MSIMAMO WA BUDHA PIA WANAMSUBIRI MAITREYA
  MSIMAMO WA WAISLAMU NI KUMSUBIRI IMAM MAHDI
  MSIMAMO WA WAHINDU NI KUMSUBIRI KRISHNA
  WAKRISTO NI KUMSUBIRI YESU KRISTO.

  JAMBO MUHIMU
  MAITREYA ALITOKEA KENYA MWAKA 1988 NA KUJITAMBULISHA KAMA YESU AKAPONYA, NA KUFANYA MIUJIZA NA KUTOWEKA.
  MAITREYA ALIONEKANA KAMA PICHA MBALIMBALI ZINAVYOMWONYESHA YESU KATIKA PICHA.ALITUMIA NEMBO ILIYOUNGANISHA NEMBO ZA DINI ZOTE. AMEENDELEA KUTOKEA MARA YA MWISHO KUTOKEA NI 2002.
  KAULI MBIU YA “UNIVERSAL CHRIST” INAYOSISITIZA AMANI,UMOJA DUNIANI.
  HUO NDIO MPANGO CHINI YA UMOJA WA MAKANISA.
  MPANGO HUU UNAAMBATANISHA WAKRISTO KUELEKEZA MACHO YAO JERUSALEM NA ISRAELI YA SASA KAMA NCHI YA AHADI.

  MPANGO HUU PIA NI KUHUBIRI AMANI, KATIKA MADHEHEBU MBALIMBALI UKIWA NI UJUMBE MUHIMU KWA UJIO WA MAITREYA. KUWAANDA WATU KISYCHOLOJIA. MAITREYA NI ROHO PIA INAYOFANYA KAZI YA MIUJIZA KWA MANABII WA UONGO SASA.

  JAPO KUNA JAMBO HILO KUWA TAYARI MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA.

  SOMA DANIEL 2:40-45 J
  UU YA KUJA KWA YESU NA KUVUNJA MPANGO HUU WA KUUNGANISHA WATU,DINI. NA KUCHUKUWA WATU WAKE KISHA ATASIMAMISHA UFALME WAKE

  MASIHA HUYU BWANA WETU HATAKUBALI UASI ULE WA BABELI WA KUUNGANISHA WATU KUWA PAMOJA ILI KUMWASI. NDIO MAANA UDONGO NA CHUMA KATIKA DANIEL 2:40-45 HAVITAUNGANIKA.

  KUMBUKA UNIVERSAL CHRIST=MPANGO WA AMANI=DINI KUWA MOJA=INJILI YA MATENDO ILI KUKUBALIKA KUWA UNA YESU=KUTOHUBIRI MAMBO YANAYOKWAZA IMANI NYINGINE=KULETA UKRISTU VUGUVUGU=UKRISTO ULIOSHIKAMANA NA DUNIA

 3. Hatujui siku wala saa,ni siku tusiyoidhani Bwana Anarudi..tujiweke tayari muda wote

 4. Kama ndio wakati, ndio huu maana dalili zinaonyesha kabisa japo tarehe hatuna. Iliyopo ni kujiandaa, ili uwe mmojawapo wa kumlaki Bwana Harusi. Katika maisha yetu ya kawaida ukiambiwa mgeni karibu atakuja unafanya nini? unajiandaa na kujitahidi kujiandaa kwa ujio huo. Holy spirit ametutaarifu tangu 2012 kama ifuatavyo: 2012- tubuni mkarejee basi -somo la kuhusu “nyakati na majira ya mwisho wa dunia lifundishwe makanisani. – wokovu unaeleweka kwa kiasi kidogo sana kwa waumini “msisitizo uliwekwa wa kupanua ufahamu huo. na mengine mengi sana . tunachojua Yesu alituahidi kuwa atarudi tena, “tunaamini maneno yake Yesu-Masaya na yeye mwenyewe tunamwamini” . tusubiri tiketi zetu zinakuja. Amen

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s