Yesu wa Brasilia!!

Mzee wa miaka 66 kutoka Brazili kwa miaka 35 amekuwa akihubiri kwa mamia ya watu na kujiita ni Yesu. Inri Cristo mwenye wafuasi kutoka sehemu mbali mbali ikiwa ni pamoja na Uingereza na Ufaransa, baadhi yao huishi pamoja naye eneo la kanisa lake nje ya Brazili. Tangu mwaka 1979 amesafiri kwa nchi 27 kueneza neno lake, hata hivyo amewahi kufukuzwa Marekani, Uingereza na Venezuela kutokana na mahubiri yake. I am Jesus: Inri Cristo speaks to his disciples from one of his mobile pulpits at his church compound outside the capital of BrasiliaPichani akiwa na baadhi ya wafuasi wake Son of god: Inri - which is a Latin acronym  that in English means 'Jesus of Nazareth, King of the Jews', believes that the location of his 'church' is the 'New Jerusalem'Katika mahubiri yake amekuwa akisema yeye ni “Yesu wa Nazareti, Mfalme wa wayahudi” Pia anasema eneo la kanisa lake ni Yerusalemu mpya Inri anasema tangu utotoni alikuwa akiifuata sauti ya nguvu ikisema naye ‘inayoongea kichwani mwake’ sauti ilimwambia: `Mimi ni Baba yako. Mungu wa Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo. His holy word: Cristo speaks to his followers every Saturday morning from his pulpit at the 'New Jerusalem' compound Akiwa madhabahini kwake anapohubiri kila Jumamosi

Long career: Inri Cristo, who has been preaching as 'Jesus' since 1979, surrounded by followers circa 1982 at Belem cathedral in Lisbon, PortugalAlianza zamani tangu mwaka 1979, pichani akiwa na wafuasi wake

Uncomfortable truths? Inri Christo's controversial views on everything from Christmas to capitalism has seen him arrested 40 times, and expelled from several countrieswakisikiliza kwa makini wakati mwingine wafuasi wake wanaimba nyimbo za kumsifu

Preacher and leader: Inri Christo's loyal followers push his pulpit out into the garden in order to listen to his words as 'Jesus'–inricristo.org

Advertisements

3 thoughts on “Yesu wa Brasilia!!

  1. ”yesu” gani huyo full cronic malaria bwanaa! pepo dume tu la huku kwetu Geita likikomaa ile mbaya, huyo bwana mdogo ‘yesu’, kijasho chembambaa kitamtoka acha kabisa.

    I cant imagine Watu wamedakwa na Wanamwamini, mwe! kweli imani inakamata Mtu kuliko police wa Kenya na Tz aisee

    Press on

  2. Du hii kali, nafikiri watatokea Makristo wengi wa uongo duniani. Nilisikia pia Kenya kuna kitu kama hicho?. Mwanadamu ameumbwa naturally kumwabudu Mungu so lazima kwa namna fulani aabudu tu hata kama sio Mungu wa kweli na ndio maana hawa Makristo wanapata wafuasi. Nimefurahi kusikia kuwa baadhi ya nchi walimkataa. Tuwe macho wapendwa!!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s