Hongereni John Lisu kwa baraka ya watoto watatu!

lisus

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania John Lisu na mkewe Nelly Kaisi, wamepata mapacha watatu siku ya tarehe 7 January 2014. Akiongea na blogs mbali mbali anasema “Mungu amenibariki kwa watoto watatu mapacha wawili wa kiume na mmoja wa kike”

Mama na watoto wanaendelea vema.

Hongereni sana familia ya John Lisu, Utukufu ni kwa Bwana.

13 thoughts on “Hongereni John Lisu kwa baraka ya watoto watatu!

 1. hongereni sn, najikuta maneno ya kusema yananikosa…. sifa na utukufu ni kwa bwana..

 2. HONGERENI.
  NAWAOMBEA MUNGU, MUWE NDANI YA MALISHO YA MCHUNGA MKUU ILI MSIPUNGUKIWE. ZAB 23

 3. Da! mpaka naona wivu mtakatifu, napenda sana kujaza Nchi kwa muda mfupi ki-double-double au triple-triple au zaidi ya scale izo, why not? kuna dada wa mbagala miaka 6 nilisoma gazeti tena anaitwa Kuruthumu-mwana wa madina na macca huyooo, Mungu asivyo na upendeleo, alifyatua wanadamu 6 na wote full afya, sembuse mimi mwana wa Yerusalemu bwanaaaa

  Sungura, ha ha ha….wacha mambo yako bwanaa…hii kiswahili hii…”’kapata pacha YA watatu” imekaa kifunny kidogo

  Press on John Lisu and Wife, bring many waimbaji-watoto wenu

 4. Duh,Mungu wa ajabu, pacha ya watatu, hii huwa haitokei mara nyingi!!

  Wahongere sana, na Mungu awajaze furaha!

  Yaani kama hawa wapendwa walikuwa wamepanga kuzaa watoto watatu, basi ndo imetoka kwa jiwe moja tu, Nelly harudi kwenye wodi ya wazazi tena!
  Lakini kama walipanga watoto wanne, basi wajiandae kwa watoto sita.

  Ila wapendwa,pacha si ni watoto wawilioj, kwani na watatu nao wanaitwa pacha?

  Jamani kwa msiojua vema Kiswahili, ukisema mapacha watatu kwa Kiswahili fasaha unamaanisha watoto sita, maana pacha moja ni watoto wawili, kwa hiyo mapacha watatu ni watoto wawili x tatu = watoto sita!
  Kwa hiyo John kapata pacha ya watatu, siyo mapacha watatu!

 5. kweli mungu wa mbinguni awabaliki sana sana nami naomba M UNGU WA MBINGUNI AWAJALIE WATOTO WAKUE KATIKA NEEMA YA BWANA NA MUNGU AWAFUNIKE WAZAZI NA WATOTO KWA BWAWA ZAKE NA KUWAKINGA NA MABAYA YA KILA AINA SAWA NA ZABURI YA 91:1..10 AMEN

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s