Mungu ni Mwaminifu!

pstabel

Wakati Mwingine unapatwa na mambo ya kuumiza sana moyo wako, inawezekana uliamini sana mtu fulani na akafanya tofauti na tarajio lako au akakutendea jambo ambalo limekuumiza sana…. Inawezekana tukio fulani limetokea la huzuni na kusikitisha na limeacha majeraha moyoni kiasi kwamba unaona maisha hayana maana tena…. Kuna wakati ungependa hata kumuomba Mungu akuchukue uondoke duniani….. Hata wakati wa kuomba unakosa cha kusema…hali hii huitwa pia ni kukosa MATUMAINI… Neno hili limekuja kwa nguvu kwangu kukwambia kwamba MUNGU NI MWAMINIFU, “He is too faithful to fail”… wakati huu ni wakati wa kuangalia Uaminifu wa Mungu – naye ni mwaminifu kukupa TUMAINI kipindi cha maumivu…naye Atabadilisha hali mbaya kuwa Njema kwa utukufu wake… Ataondoa maumivu yako na kukupa furaha, Amani na kujaza moyo wako kwa Upendo wake ambao haulinganishwi na chochote….Kwamba atafanya kwa njia gani na lini sijui, ila kwamba atafanya NAJUA kwa HAKIKA – maana MUNGU NI MWAMINIFU.

Advertisements

6 thoughts on “Mungu ni Mwaminifu!

  1. Ahsante mtumishi kwa maneno ya faraja, naamini Mungu atatenda juu ya afya yangu na ndoa yangu.

  2. Amina Kubwa mutumishi wakati nilipo soma mistari ya maelezo yako iliongoza na roho ya Mungu . Ikaninitiya nguvu kiroho.Kweli mimi binafsi niko na tatizo kwenye NDOA yangu Mungu ni mwaminifu kwa NENO lake . mimi ni mtu kama vile bibi ya Abraham ndio Sara alifika mwisho kusema na bwana yake AZALE na mufanya kazi ndio Agai mama ya Ismaeli .juu ya kufika mwisho ya ombi lake mbele ya Mungu . Na mimi na fika mwisho Bwana unisamehe na unikumbuke juu ya NDOA yangu

  3. Amina, na Mungu akubariki sana, mimi binafsi umenitia moyo na kuikuza imani yangu kwa Mungu muumba mbingu na dunia.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s