Tutu urges Uganda’s Museveni against anti-gay bill

tutu

JOHANNESBURG (AP) — South Africa’s retired Archbishop Desmond Tutu on Sunday made an impassioned plea to Uganda’s President Yoweri Museveni not to sign into law a harsh Anti-Homosexuality Bill that calls for a life sentence for some same-sex relations.

Tutu, a Nobel peace prize winner, said in a statement that Museveni a month ago had pledged not to allow the anti-gay legislation to become law in Uganda. But last week Museveni said he had reconsidered and would consult scientists on whether homosexuality is determined by genetics or by a person’s choice.

Tutu said he is “disheartened” by Museveni’s new position because there is “no scientific basis or genetic rationale for love … There is no scientific justification for prejudice and discrimination, ever.”

Tutu urged Museveni to strengthen Uganda’s “culture of human rights and justice.”

Uganda’s controversial anti-gay bill was passed by the country’s parliament in December. It must be signed by Museveni to become law.

Originally the bill called for the death penalty for some homosexual acts but the maximum penalty was changed to life imprisonment for repeat offenders. The penalty for first time offenders is 14 years in jail.

Homosexual acts are already illegal in Uganda according to a law that dates back to British colonial rule. The new legislation has much tougher penalties, such as jail sentences for conducting a same-sex marriage or failing to report to police someone who has gay sex.

Tutu said human beings are diverse and this requires tolerance, compassion and respect for one another.

Tutu called on Museveni to change course and instead concentrate on legislation against rape and sex with children. Tutu said that would provide more protection for children and families than criminalizing “acts of love between consenting adults.”

In a statement released on Friday, Museveni said Uganda’s scientists had reviewed studies and agreed that no single gene could be identified as a trigger for homosexuality. They suggested it is learned behavior that could be unlearned. Museveni said he asked the scientists if it was possible that a combination of genes could be responsible. If the scientists report back that they can find no genetic determination for homosexual behavior, Museveni said he would sign the bill into law.

Museveni said he is open to debate about homosexuality and he encouraged “the U.S. government to help us by working with our scientists to study whether, indeed, there are people who are born homosexual. When that is proved, we can review this legislation.”

Advertisements

9 thoughts on “Tutu urges Uganda’s Museveni against anti-gay bill

 1. Milinga,

  Lwembe amekujibu vyema saana.

  Ninachotaka kuongezea ni hv hapa,

  1.Museveni wala hajatunga sheria ya kupambana na mataifa tajiri. Sheria iyo alishatunga tangu zamani Mungu mwenyewe, yeye anachofanya ni kuiinua sheria ya Mungu juu mataifa yasemayo hakuna Mungu au yenye utajiri wa kishetani yaijue sheria ya aliyewaweka kwny utawala Rom13. Kwa kweli kwa kufanya hvyo na kwa msimamo huo ujumbe wa kristo umefika.

  2. Kumbuka kuwa Hatuzaliwi na Dhambi ya asili toka kwa adam BALI tunazaliwa na asili ya dhambi soma Rom7. Ikiwemo na uzinzi n.k.

  -wenzetu hao ni matajiri kiuchumi ila sio kiroho. Wanamapesa ila hawajui jinsi ya kutumia pesa hzo kushinda uzinzi, after all pesa hazina ufumbuzi dhidi ya dhambi. Wanachopungukiwa ni utajiri wa kiroho unaowawezesha wao kupata ufumbuzi wa mambo ya kiroho.wanasema takwimu zinaonyesha 80% za matajiri hao wanakataa uwepo wa Mungu. Kiukweli unapokumbana na matatizo ya kiroho km hauna nguvu ya Mungu utaishia kusema ooh huu ni ulemavu, ooh ndivyo wanavyozaliwa.Ila kwa alinayejua kuhusu Yesu ana ufumbuzi wa kila tabia na mazoea ya dhambi tuliyoridhi. My friend Permanent Solution.

  3.km nilivyosema hapo awali, wakati wa mwisho tunakabiliwa na majaribu mazito yanayohitaji maamuzi magumu kutetea kile tunachokiamini km watawala au mtu binafsi.

  Hebu fikiri juu ya wafuatao,

  -Yesu vs Shetani. Math4. Aliambiwa aanguke na kumsujidia shetani ili apewe fahari yoote ya dunia. Milinga una kumbuka Yesu alifanya maamuzi gani? Ndipo Yesu akafanya kile alichosema “kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote na kupata hasara ya nafsi yake”.

  -vipi kuhusu Yusufu Vs Mke wa mfalme wa misri dhidi ya jaribu la uzinzi.

  -vipi kuhusu ayubu?

  -vipi kuhusu Daniel, Meshaki na Abedonego dhidi ya ufalme wa nebukadreza?

  Wote hawa walikabiliwa na maamuzi magumu sana kumtii Mungu vs kuwatii wanadamu. Je, unajua jumla ya maamuzi yao waliyofanya. Wangekuwa na woga wa maisha wangeharibu historia yao.

  4.tupo kipindi ambacho uchumi wa dunia umeyumba,na shetani akitumia mawakala wake anadai kuabudiwa ili atupe mafaninio.km unabisha chunguza wengi wa weny mafanikio utaona jinsi walivyomwabudu shetani ili wawe:matajiri,mastaa,wenye vyeo/mamlaka n.k.

  5.Biblia imeshatabiri nyakati za mwisho watu watakuwa wenye kupenda pesa na wengne hali wakiitamani iyo WATAJITENGA NA IMANI.

  -tupo wakati tunaotakiwa 1.kumtii Mungu kuliko wanadamu tena bila kujali kitakachotokea. 2.tùvipende na kuvichagua vilivyo juu na visivyoonekana kuliko ya vilivyo chini na vinavyoonekana.

  -tukesheni tukiomba kwani mbele yetu yapo majaribu mengi ya ajabu yatakayojaribu kila mtu mmoja mmoja, wala sio kma nchi au kanisa itakuwa individually.

  Friends dunia inalelewa lewa, tena inawaya waya nao wanaoikaa wameitia unajisi. Na anguko lake ni hakika wala hakuna wa kuiokoa isaya imetabiri.

  -wengne wameshachangia juu ya sodoma na gomora wakati wa lutu ni vitendo hv hv vilishamiri hatimaye wenzetu hao wakachomwa moto. Tena wao walitaka kuwatendea hvyo hadi malaika wa Mungu waliotumwa huko. Vivyo hvyo nasi ktk kizazi chetu tuyaonapo hayo tujue mwisho umefika.

  -tuchangamke na kuviinua vichwa.

 2. ole wako D.Tutu, umekula vya magharibi nini.

  Milinga,

  Acha hofu ya maisha wewe unamtisha museveni mtumishi wa Mungu. Yeye anamwamini Mungu, wala hababaishwi na misaada yenye masharti ya kishetani.Mungu hawezi mtupa yeye na wananchi wake. Kwani umesikia mugabe kwa misimamo yake wamekufa wangapi? Hata km wapo iyo nikwa maslai ya vizazi vijavyo.

  Sijui msimamo wetu Tz ni aje? Au tumeshauza wapendwa,mbona kimya.na naona misaada ya nchi hzo kila siku tunaitafuna kweli!!

  Mmesikia na hilo tena, Museveni ametunga sheria ya kukataza nguo fupi. Duh. Inaonekana aliwahikuwa Pr. Hadi natamani niamie nchi yake hata leo. Yaani kwa kumwinua Mungu,nchi yake itastawi. Siutaona. ila nadhani wanasiasa wenzake watamsaliti msimamo wake.

  Tz, tunahitaji viongozi wenye maamuzi magumu km Museveni.

  Daima kumtii Mungu bila kujali matokeo. Na ni heri kumtii Mungu kwanza kuliko wanadamu.

  ongera sana museveni, hadi natamani kuamia nchi yako.

 3. Tutu, the Archbishop of the modern Sodom & Gomorah, the modern Esau,
  Ameiuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza ktk Kristo, kwa bakuli la sifa za walimwengu! Ni msemaji wa akina Esau wenzake wengine wenye makundi ya mashoga makanisani mwao, kwa pamoja pole pole wakilipeleka kanisa ktk milki mpya! Kama Papa anaona kuna umuhimu wa kuwasikiliza mashoga, yaani kuwavumilia, naye Tutu akiwa chini yake spiritually, basi hatupaswi kumlaumu sana, bali tutambue tu kuwa makundi yetu mengi yamekwisha ridhia jambo hilo, Wakatoliki, Wasabato, Anglikana, Lutherani, nk, makundi haya yote yamo ktk jumuia ya mashoga!!!!

  Basi, msimamo wa Museveni, ambaye si mchungaji wala si mwinjilisti, wala si nabii wala mtume, wala si askofu, yaani mlei tu wa kawaida, leo hii amesimama kidete kutetea Haki ya Mungu dhidi ya dunia nzima iliyoungana na kanisa kutetea Haki za binadamu ambazo zinajumuisha uhuru wa ushoga; ni aibu kiasi gani kwa Kanisa, kama limebaki na hata chembe ya aibu!!!!

  @ Milinga,

  Museveni, kabla hajasaini, alipozisikia kelele zenu, alipose kidogo, akague iwapo Biblia ilijikurupukia tu kuwatenga mashoga. Akatafuta kujua asili ya ushoga kama ni genetic, yaani ni kilema ambacho mtu anazaliwa nacho na hivyo wajibu huo kutupiwa Mungu au ni tabia tu? Akawauliza wanasayansi, jibu alilopewa likamdhihirishia kuwa hao ni mashoga kwa tabia na si maumbile! Si unawaona makasisi wa Kikatoliki wanavyowaingiza ktk ushoga watoto na vijana wanao waangalia mashuleni nk, mpaka wanakubuhu!

  Tena kupitia wewe nimejua kwamba, Museveni anaujasiri kuliko mitume na manabii wetu na maaskofu na wachungaji mpaka waumini wa sampuli yako ambao wanapenda saana kusaidiwa kuliko kujitegemea; hakuna hata aliye muunga mkono, wote kimyaaaa! Basi kwa vile mmekaa mkao wa “Matonya”, kopo juu mdondoshewe misaada, nanyi mtaishia kuwa kama wale watu wa Sodoma, tabia huambukiza, kwa kadiri mnavyowazoea, mtaishia hukohuko maana Roho wa Mungu ambaye angeliwalinda, hakai ktk makundi machafu kama hayo, basi jiulize mmebaki na roho ipi baada ya RM kuondoka? No wonder mnafikiria pesa mtakazozikosa kwa “ujinga wa Museveni” kama Esau alivyoitamani dengu; ila fikirieni na mtakavyo zitumia pesa mlizopewa mkifika huko Jehanumu!!!

  Kuna wahubiri wa kipentekoste waliokuwa wakiwahubiri makundi hayo ya mashoga ili kuwaleta kwa Kristo. Wale mashoga wakawa kama wenye kuelekea, na mwishowe wale wahubiri wakaishia kulala nao wakijitahidi “kuwaokoa”!!!

  Millinga, chezea shoga wewe!!!

 4. Wapendwa,

  Huwezi kuzuia dhambi kwa kutunga sheria kama hiyo ya Mseven wa Uganda. Isitoshe Museven hana ubavu wa kupambana na mataifa ya magharibi.

  Utadhani Museven hajui siasa za dunia hii. Kama anataka wamfanye kama Mugabe yeye ajiandae tu kutengwa na dunia ya matajiri wa dunia. Dunia hii inaendeshwa na mataifa yenye nguvu ya fedha, jeshi na uchumi. Kainchi kako kenye kutegemea wafadhili kwa zaidi ya 40% ya bajeti yote ya nchi kanawezaje kujifanya kanaelewa saaaana maswala haya ya ushoga kuliko nchi zilizopiga hatua kukuzidi?

  Swala la ushoga kama zilivyo tabia au hulka nyingi mbaya duniani haiwezekani ukafanikiwa kuutokomeza ushoga kwa kutumia sheria. Maswala yanayofanyika sirini utayahukumuje mahakamani?

  Namshauri Museven awaze upya. Aifute sheria hiyo au aishie kuisaini ila asiipeleke mahakamani ili ikatekelezwe. Atajuta kwa nini alikubali. Kama taifa lako halikubali ushoga na unaona ni kinyume na utamaduni wa watu wako na bado unataka mataifa tajiri yaendelee kumwaga misaada ya fedha kwako, bora ujikalie kimya tu wala usipeleke muswada bungeni wa kusema chochote kuhusu dhambi ambazo hazikuhusu. Isitoshe atakayehukumiwa kuwa ni mwenye dhambi ni shoga mwenyewe.

  Ninapenda kutoa changamoto hapa. Hivi watu ambao ni mashoga (Gay) walizaliwa hivyo, wamejifanya hivyo au wamefanywa na watu kuwa hivyo?

  Naomba mwenye majibu atusaidie.

 5. kwa nini ukengeufu wa namna hii watu wa dini wanatetea zambi kama huyo Askofu Tutu
  biblia iko wazi kwa jambo hili imeisha sema kwamba vile vile zilizo kuwa wakati wa sodoma na Gomorha vivyo hivyo zita kavyo kuwa wakati wa kuja kwa mwana wa adamu, na mengi zaidi ya haya tuta yaona na kuyasikia dalili zimewekwa wazi mbele ya macho yetu asomaye na afahamu

  juweni kwamba Yesu alisema zile siku za kuja kwake zisinge fupishwa yamkini hata wateule wangekamatwa katika mtego wa adui ,lakini sasa zitakaitshwa kwa sababu ya wateule ali ahidi hilo bwana wetu Yesu Kristo

  wapendwa tuwe macho

 6. what a shame, anatetea dhambi? Museveni ameokoka? kama bado Mungu wa mbinguni ampe neema ya wokovu, bravo to Museveni

 7. hapa ndo inaonyesha mtumishi aliechaguliwa na Mungu na mtumishi aliechaguliwa na watu au kujihagua mwenyewe maana anatetea maslahi ya waliomchagua au maslahi yake binafsi

 8. kweli Museven anasitahili pongezi sana na Mungu atamtetea maana amesimama katika upande wa Mungu Jehova kwani Mungu anachukia sana dhambi hii na ndio maana hata miji ya Sodoma na Gomora ilichomwa kwa dhambi hii Mwanzo 19:4..26) kama huyo Askofu anatetea anataka sifa ya dunia si unajua aliwahi kupewa nishani ya nobel biblia inasema kila anayependa dunia huwa ni adui wa Mungu huyo na wengine wanaotetea ni adui wa Mungu nasema Mungu apigane nao viongozi wengine igeni mfano wa rais wa uganda ndugu YOEL MUSEVEN

 9. Wapendwa tusirembe rembe maneno hapa (Walawi 18;22 ) inasema, Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo, sasa hapo Askofu Desmond Tutu unatetea kitu gani, unatetea ushoga??? Biblia imekataa wazi wazi kabisa, kwa hilo naungana na Raisi Museven kupinga ushoga,

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s