Zanzibar Tena!!

muungano

Habari kutoka vyanzo mbali mbali vimeandika mabomu mawili yalilipuka siku ya Jumatatu Zanzibar,  lakini hakuna aliyejeruhiwa.

“Uchunguzi unaendelea kupata maelezo ya chanzo cha milipiko hiyo” Kamishna wa polisi msaidizi Mkadam Khamis aliwaambia waandishi wa habari .

Mlipuko mmoja ulitokea karibu na kanisa la Angrikana na mwingine kwenye mgahawa wa Mercury, sehemu watalii wanapopeda kwenda.

Katika hali ya matukio haya mfululizo, Ubalozi wa Uingereza umesema wako tayari kutoa msaada unaotakiwa.

Mwaka jana washambuliaji wasiojulikana walishambulia makanisa mbali mbali ya kikristo na kumwagia tindikali viongozi wa Kikristo pamoja na watalii wawili waliotembelea kisiwa hicho.

Katika maadhimisho ya miaka 50 ya kuungana na Tanzania Bara, baadhi ya vyama vya upinzani wanataka kuvunja mahusiano ya muungano huo.

Advertisements

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s