Did Nigerian Prophet TB Joshua Predict Disappearance of Malaysia Airlines Flight MH370 in 2013?

tb-joshua-nigeria

A self-styled Nigerian prophet, T.B. Joshua, reportedly forewarned in 2013 that a “large aircraft, carrying over 200 people would develop a fault on the tarmac” in “an Asian nation” and people are now speculating that he was talking about the disappearance of Malaysia Airlines Flight MH370.

A YouTube video linking Joshua’s prediction, made on Sunday July 28, 2013, and Flight MH370 has now gone viral. In the prediction he says the incident with the predicted flight would be caused by “impatience” in addressing a fixable fault with plane.

“We have to pray, this is an Asian country,” said Joshua in the run-up to his prediction in the video.

“I will not mention any country but God showed me the country. I am seeing a very big balloon. What is the cause of this? It was just about to take off and the fault started. It means they can discover it on the tarmac but because of impatience.

“If God gives me the grace I will send a letter to the embassy of the country. Check your airlines in your country,” he warned to applause.

)

“But it’s going to be huge. Almost 200 people inside. What happened here is the fault of impatience because there are many things they need to look into before they take off but they are unable,” he said.

Flight MH370 took off from Kuala Lumpur International Airport just after midnight on Saturday and it has since disappeared which has left investigators, aviation experts and the authorities in several countries at a loss to explain what happened. There were 239 people on-board. The airline said it did not receive any distress messages or emergency signals from Flight MH370 before it “disappeared off the radar.”

— leonardo.blair

Advertisements

6 thoughts on “Did Nigerian Prophet TB Joshua Predict Disappearance of Malaysia Airlines Flight MH370 in 2013?

 1. Haa ha ha!!

  Haya Bwana CK Lwembe, mie ni mdhaifu katika kupambanua mambo.Inawezekana upo sahihi..Basi kila mtu na ashike anachokiamini kwa kadri Roho wa Mungu anavyomuongoza..

  Kwamba ninampiga kijembe Kiongozi wa kanisa langu, si kweli..Mie nimetolea mfano tu wa utofauti wa Watumishi kujulikana na kuheshimika katika huduma zao.

  Kwamba hakuna Programu ya Wokovu katika huduma yake, hapo huwezi kunidanganya, labda ulete hoja nyingine.. Yesu aliwaponya watu akawaambia ” USITENDE DHAMBI TENA”. Mbona scoan pia tunayaona hayo, watu wakiponywa wanapewa maelekezo waishi namna gani.. Au wokovu unaouzungumzia ni wa namna ipi?

  Kuna wokovu mwingine tena zaidi ya kuwabadilisha Wachawi,Makahaba, Majambazi, n.k kumrudia Yesu?

  Daniel J.

 2. Ndg Daniel,

  Swali la dada Janeth anauliza hivi, “Wapendwa hivi Tanzania hakuna watu kama TB Joshua? kila mtu sasahivi ni TB Joshua tu sijaona mnaongelea watanzania wenzetu.”!!!

  Jibu rahisi lilikuwa ni, “Hakuna!”

  Maelezo yako mengine ni ya kujiridhisha tu ktk udhaifu wa kupambanua masuala, nawe ukijionesha jinsi ulivyo hodari wa vijembe, umempiga kijembe mpaka mchungaji wako!

  Pia, kwamba mtumishi mwenye kipawa cha unabii akiwa na mafanikio ya kuanzisha Tv inayorusha matukio ya huduma yake, haswa miujiza, ambayo kwayo maelfu ya wakristo na wengineo wenye shida huvutwa kuyafuatilia hayo na hata kushawishika kuifuata huduma hiyo na kufanikiwa ktk dhiki au matamanio yao; wengine huenda huko ili wakatabiriwe mambo yao nk; bado jambo hilo si kigezo cha kufanikiwa ktk kusudi la Mungu kama unavyofikiri ndg Daniel!!

  Kipimo cha mafanikio ktk kazi ya Mungu ni lazima kiendane na Programu ya Mungu ya wakati, ambayo kwayo kazi ya mtumishi itapimika kulingana nayo. Unabii ni kipawa kama vipawa vinginevyo, navyo vipawa havina majuto. Kwahiyo unaposema huduma hiyo ina mafanikio, basi ulipaswa kwanza utuoneshe “Blue print” ya kazi yake hiyo ndipo tuone inavyoifanania.

  Nabii awapo ktk Huduma huwa ni sawa na mjenzi. Mjenzi, ili aifanye kazi hiyo, kwanza hupewa ramani ya jengo na mwenye jengo. Ndipo hulazimika kwanza kuisoma na kuielewa ramani hiyo kabla ya kuuanza ujenzi huo. Nayo kazi yake hupimwa kwa ramani hiyo aliyopewa na si uzuri wa muonekano wa jengo kwa watu wasioijua ramani hiyo kama maelfu ya wafuasi wa nabii huyu wanaopumbazika kwa miujiza!!!

  Unaweza kutabiri matukio kama haya na yakatokea kwa asilimia 100, utukufu wa matukio kama haya bado ni lazima umrudie Mungu ktk namna ambayo Mungu atasomeka ktk huo ujenzi wa Ufalme wake unaoendelea kulingana na ramani.

  Lakini ktk tukio hili, utukufu ni wa nabii mwenyewe ktk ujenzi wa himaya yake, ndipo angetoa unabii kama huu usio na ujumbe wowote ule zaidi ya kuzidi kuwafunga hao wanaomfuata, akiwaacha waki hang ktk wild speculations not knowing what to expect mpaka wanapoifikia climax ya kupotea kwa ndege hiyo, mafundo ya hofu yakizidi kujengeka ndani yao, wakilazimika kuwahi majumbani mwao ili kuzifuatilia Tv sermons zinazoendelea in the hope of getting a clue to their futures; hopelessly sent back into the spiritual torments ambazo Kristo aliwatoa na kuwaingiza ktk Uhuru na Amani yake!

  Angalieni kama anayo Ramani, hiyo ndiyo inayoitambulisha huduma yake, mpaka sasa sijaona lolote linalohusiana na Programu ya Wokovu ktk huduma yake. Naona anaijenga himaya yake tu!

  Mwambieni akamilishe unabii wake kwa kuionesha dunia ndege ilipo!!!

 3. Dada Janeth,

  Akiwepo Mtumishi, na tukaona Matendo makuu ya Mungu yakitenda kazi katika huduma yake, kama ya huyo uliyemtaja hapo juu Automatically jina lake litakuwa kubwa hivyo hvyo kwa utukufu wa Mungu. Lakini kama watabakia kupigana Vijembe tu Madhabahuni na kujipa Viburi vya uzima, heshima itatoka wapi? Mtu wa watu katimiza maono aliyopewa,kaanzisha Media kuutangaza utukufu wa Mungu kwa Mataifa kwa nini asijulikane? Emmanuel TV 24 Hours ni kumtukuza Mungu,Compare na Channel zetu zinajiita za kikristo Full Michanganyo hazieleweki hata kimaono zinaelekea wapi.

  Viwango vya kuheshimika vinategemea na jinsi unavotembea na Mungu. Hata hapa hapa Tanzania heshima kwa watumishi zimetofautiana kulingana na kujitoa kwao katika Utumishi na jinsi watu wanavyobarikiwa.

  Watumishi kama akina Mzee Kulola,Mwl.Mwakasege, na wengineo, ukubwa wa Huduma waliyopewa na kuheshimika kwao, huwezi linganisha na Huduma ya Mchungaji kiongozi wa Kanisa ninapoabudu mimi.

  But all in all, Ukubwa wa huduma, udogo wa huduma, kuheshimika kwa huduma si hoja sana. Swali ni Je, umetumika kutimiza kusudi la Mungu sawasawa na huduma alilokuwekea ndani yako kuitimiza? Na ninachoamini kama kweli Mtumishi atasimama katika kusudi Mungu alilomuweka, Kama mitume walivyoitetemesha Dunia pamoja na uchache wao kipindi hicho basi Yawezekana kabisa DUNIA itatetemeka na kutambua kuwa Mungu yupo kupitia huduma hiyo. Kwa hiyo hoja ya kwamba tunaacha vya kwetu tunakimbilia kwa TB J, ni kutokana na yeye jinsi alivyojitanua kutimiza maono yake ili kufikisha Baraka kwa Mataifa mbali mbali. Kama kwangu au katika simu yangu ninaweza kuangalia Emmanuel TV 24 Hours, Why nisiwe free kuangalia hiyo ?

  Daniel. J

 4. Kini ni kipi? Mtumishi kasema imedondoka kwenye bahari na wataalamu wanasema ndege iko salama haijandondoka kwenye maji???

 5. Mom ninaamini ya Kuwa, WAPO, ILA hatujawaamini km vile ambavyo hakuwahi kuaminiwa. Pia, hakuna MTU ambaye huwaombea, hatupendi vya kwetu hata siku moja, we all dwell on distraction, may he the Lord help us. Twapenda maneno mabaya2 zaidi kusikia juu yao. Tu wepesi sana kutambua maonyo ya nje juu ya mitume na manabii, kuliko kutafuta wakwetu ambao ni sahihi km tujitapapo Kuwa ni safi kuliko hao tuwasemao vibaya, tusiowaamini kamwe. Mubarikiwe.

 6. Mungu azidi kumhifadhi mtumishi wake TB Joshua,

  Wapendwa hivi Tanzania hakuna watu kama TB Joshua? kila mtu sasahivi ni TB Joshua tu sijaona mnaongelea watanzania wenzetu.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s