Siku 2 za maombi ya kufunga Maryland, karibu sana!

maombi..

Strictly Gospel tutakutana pamoja tarehe 21-23 March, 2014 kwenye maombi ya kufunga na kuomba kwa siku mbili. Kuanzia Ijumaa usiku ni mkesha wa toba, Jumamosi ni mafundisho, maombi na maombezi mpaka Jumapili jioni tutafungua kwa pamoja. Kutakuwa na watumishi mbali mbali watakaohudumu siku hizo!

Kwa wale wangependa kuhudhuria maombi haya karibuni sana, na ikiwa una mtu anayehitaji kuombewa usisite kumleta. Ikiwa hutaweza kuhudhuria na ungependa tuombe pamoja tutafurahi kufanya hivyo.

Maelekezo zaidi wapi tutakutana na ratiba kamili tafadhali wasiliana na Mary 484-751-7038 au tuma email strictlygospel@yahoo.co.uk

Ni bure, Wote mnakaribishwa!

Mungu akubariki

–MD

 

Advertisements

3 thoughts on “Siku 2 za maombi ya kufunga Maryland, karibu sana!

  1. Ubarikiwe SARAHROSE. Tutafurahi kujiunga nasi

    Mama Banza tafadhali tuwasiliane tena. Karibu sana!

    MD

  2. Ninahitaji msaada wenu jinsi ya kufika kwenye mkesha, nimepiga simu inaita haipokelewi

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s