Jinsi gani ya kuondoa mapepo?

kutoamapepo

Ni Jinsi gani unaweza kuamrisha roho chafu za shetani zimtoke mtu kibiblia na kujiwekea ulinzi ili kuepushwa na kulipwa visasi?

–Mike

Advertisements

7 thoughts on “Jinsi gani ya kuondoa mapepo?

 1. Swali langu ni ktu gani kinadetremini pepo kutoka haraka?? Utakuta mwingine anatumia dk chache tu ila mwingine yaweza chukua masaa; siku; wiki etc. ???……

 2. Biblia inasema ishala hizi zitafuatana na wote wanaomwamini yesu marko 16:17 kuamini kwa maana ya kumpa Yesu maisha yako kama Bwana na mwokozi wa maisha yako kuishi sawa na neno na kulitii (kwa kifupi kuokoka kuishi maisha matakatifu kisha unapokemea au kuamuru pepo kutoka kwa mtu aliye pagawa na mapepo lazima mapepo yatatoka ameni

 3. Kwa Imani (amini kuwa umepewa uwezo na Yesu ) na kwa Jina la Yesu Marko 16:16 ….

 4. kwa kufunga na kuomba
  math 17;14-23
  Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema,
  15 Bwana, umrehemu mwanangu, kwa kuwa ana kifafa, na kuteswa vibaya; maana mara nyingi huanguka motoni, na mara nyingi majini.
  16 Nikamleta kwa wanafunzi wako, wasiweze kumponya.
  17 Yesu akajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, kilichopotoka, nitakaa pamoja nanyi hata lini? Nitachukuliana nanyi hata lini? Mleteni huku kwangu.
  18 Yesu akamkemea pepo, naye akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile.
  19 Kisha wale wanafunzi wakamwendea Yesu kwa faragha wakasema Mbona sisi hatukuweza kumtoa?
  20 Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.
  21 Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.
  22 Nao walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu anakwenda kutiwa katika mikono ya watu, nao watamwua, na siku ya tatu atafufuka.
  23 Wakasikitika sana.

 5. UWEZO WA KUTOA MAPEPO UKO KWA ROHO MTAKATIFU NA UNAPO KUWA UMEOKOKA UWEZO HUO UNAKUA NAO ILA INAHITAJIKA IMANI.WAHEBRANIA 11:6

 6. Habari,kwa ninavyoamini kutoa pepo ni nguvu au uwezo ambao mtu aliyempa Yesu maisha yake anakuwa nao.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s