Sifa za Kuokoka!

sifa

Naomba kujua sifa za mtu aliyeokoka au kuzaliwa upya!

–Elijema Salum

Advertisements

4 thoughts on “Sifa za Kuokoka!

 1. yesu asifiwe!!

  Matendo yake yatakuwa si yale ya zamani kabla hajaokoka,

  mazungumzo yake yanalenga kwenye utakatifu

 2. sifa za mtu aliyeokoka
  1.kuishi maisha matakatifu kwa neema ya kristo(yale ambayo kwanza alikuwa hawezi kama tamaa,uasi wa kila namna atapata nguvu ya kuwezeshwa kushinda(inayoitwa neema)
  2.atkuwa nuru ya ulimwengu(watu watashudia wokovu wake kwani atakuwa na tabia ya kristo watu watasema kama walivyo mwambia petro kuwa wewe ni mfuasi wake,hata kusema kwako, wakati wa mateso ya Yesu pamoja na petro kuendelelea kumkana Yesu watu waliona mwenendo wake ukiwa tofauti na wengine hata leo watu tulio okoka tunapaswa kuwa hivyo
  3.atakuwa chuvi ya dunia(nini maana yake watu wavutwe na maisha yetu ya wokovu hata bila kuhubiliwa neno)
  kwa leo nishie hapo nitaendelea kuchangia na Mungu awabaliki

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s