Dr. Maya Angelou: “Kuna njia nyingi kwenda kwa Mungu.”

Chini ni video ambayo marehemu Maya Angelou alizungumza kwenye kipindi Super Soul Sunday kinachoendeshwa na Oprah kwamba kuna njia nyingi kwenda kwa Mungu.

Lakini Neno la Mungu linasema njia ni moja tu, Wokovu ni Kupitia Yesu Kristo PEKEE. Ndiye njia ya kwenda kwa Mungu. Je wewe una maoni gani?

Advertisements

7 thoughts on “Dr. Maya Angelou: “Kuna njia nyingi kwenda kwa Mungu.”

 1. @sungura Njia ni Yesu lakini, watoto wadogo wamehaidiwa ufalme wa Mungu Bure na Yesu mwenyewe. though Watu wazima wanakwenda bure pia lakini watoto hawana jukumu la kuishi wakiwatii wazazi wao.Lakini kwa mtu mzima imani yake inatakiwa ijaribiwe.Na ndio maana ya kunywa kikombe.Yesu kristo alisema kabla hajaenda kusulibiwa ..baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke. lakini pia kuna mahali alisema kikombe nikinywacho nanyi mtakinywa..

 2. Heee, Harris!

  Kwamba mtoto mdogo anaweza kwenda kwa Mungu free bila kukinywa kikombe, kwani sisi watu wazima tunaenda kwa Mungu kwa gharama ipii?

  Maana njia ni Yesu pekee, kwa mtoto na mtu mzima, maskini na tajiri, kwa kichaa na aliye timamu!

 3. KAMA NI MUNGU WA MBINGUNI NJIA NI YESU PEKEE.

  “NA KWA MALAIKA WA KANISA LILILOKO FILADELFIA ANDIKA;

  HAYA NDIYO ANENAYO YEYE ALIYE MTAKATIFU, ALIYE WA KWELI, ALIYE NA UFUNGUO WA DAUDI, YEYE MWENYE KUFUNGUA WALA HAPANA AFUNGAYE, NAYE AFUNGA WALA HAPANA AFUNGUAYE.” UFUNUO 3:17

  “YESU AKAMWAMBIA, MIMI NDIMI NJIA, NA KWELI, NA UZIMA;MTU HAJI BABA KWA,ILA KWA NJIA YA MIMI.” YOHANA 14:6

 4. LABDA SUALA NI KWENDA KWA MUNGU KUTAFUTA NINI?
  Nikodemo alimwendea YESU usiku na Zakayo alikwea MTI ili kumwona BWANA YESU.Mlaaniwa mmoja alipata TOBA akiwa MSALABANI na MWOKOZI wa ULIMWENGU!ANGELOU MAYO alikuwa na HOJA sahihi kwa mtizamo wa mifano niliyojaribu kuonesha hapo juu
  APUMZIKE,KWA AMANI NAAM NA KAZIZAKE ZAMFUTATA NYUMA YAKE!ndivyo angesema mtunzi nwa Ufunuo wa YOHANA,IKIWA AMEKUFA KATIKA BWANA!

 5. How to get into Heaven.

  There is only ONE way to get to heaven. John 14:6 “Jesus saith unto him, I am the way, the truth, and the life: no man cometh unto the Father, but by me.” Notice the bible verse does not say (Jesus is A way); because that wording would mean that He is one of many ways. The Jews have one way, the Muslims have another way and the Christians have even more ways depending on the denomination. If you’re church, synagogue, or mosque tells you that there is ANOTHER way to heaven other than thru the shed blood of Jesus Christ on the cross, run don’t walk to the nearest exit and NEVER go back! I am not trying to get you to join my church or get you to convert to my religion or get you to buy a prayer cloth or some other ridiculous item. I am warning you of the dangers of being in any false religion! No religion can save you! The only thing that matters is WHO you are trusting to get you to heaven. Galatians 3:6 “Even as Abraham believed God, and it was accounted to him for righteousness” Abraham was saved, given eternal life, made righteous just like we are today, he believed (trusted) God! Abraham was not a member of ANY church, he was not water baptised, he did not have any Priest or Rabbi or Imam praying over him. All he did was trust what God told him about the coming Messiah who would wash him of his sins. What we do in this age is exactly the same, Trust God by believing, trusting in the Messiah that came 2000 years ago who washes us of all our sins and we are then given the Gift of God, Eternal Life and His righteousness.

 6. namnaya kwenda kwa Mungu inaweza kutofautiana lakini njia ni moja tu ya kwenda kwa Mungu.ila inaweza kutofautiana kwa mtu na mtu. mfano mtoto mdogo anaweza kwenda free bila kukinywa kikombe , kuwa sio sawa na mtu mzima. ila anayempitisha mtu kwenye geti ni yule yule Yesu Kristo

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s