Jina la Yesu lainuliwa Tuzo za BET!!

yolanda1

Wakati tuzo zikiendelea Televisheni maarufu nchini Marekani BET, Mwimbaji wa Injili Yolanda Adams alipata nafasi kuimba wimbo wa “Jesus is Love” Uliowahi kuimbwa na kutungwa na Lionel Richie. Yolanda aliimba katika roho ikapelekea watu ukumbini kusimama na kumsifu Bwana.

Matukio kama haya inapendeza Jina la Yesu likitukuzwa!!

Unaweza kuona hapa

Advertisements

2 thoughts on “Jina la Yesu lainuliwa Tuzo za BET!!

  1. Asante sana kwa habaari nzuri kama hizi, napenda sana kuona jina la Yesu likitukuzwa hata kwenye awards kubwa kama hizi

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s