Semina ya Bishop Maboya Pennyslvania katika picha

Ilikuwa ni Semina ya baraka na uponyaji kwa jina la Yesu Kristo. Askofu Dunstan Maboya alihudumu katika kanisa la Norristown New Life Church na Mungu alionekana kwa jinsi ya pekee katika ishara na miujiza.

Siku ya Ibada ya Jumapili tarehe 22 June 2014 ilifanyika kwa lugha tatu, Kiswahili, English na Kispanish.

Tulibarikiwa sana na waimbaji walioongoza sifa na kuabudu Pastor Peter Ngoso Kutoka Ohio, Milca Kakete kutoka Canada, Pastor Brenden Biggs kutoka Idaho na Faith Destiny kutoka Ohio.

Ikimpendeza Mungu Bishop atarudi tena mwakani, ukitaka kujua mikutano yake USA tafadhali wasiliana nasi kwa email strictlygospel@yahoo.co.uk

Baadhi ni picha za semina iliyofanyika tarehe 20 – 22 June 2014.

1

Dada Milca Kakete, Pastor Brenden Biggs na Dada Faith Destiny wakiongoza nyimbo za Kuabudu

2

3

Pastor Ngosso akiongoza Sifa

Pastor Ngosso akiongoza Sifa

5

11

6

7

8

9

10

12

13

14

15

16

18

20

21

22

2324

25

2627

28

29

31

32

33

 

Advertisements

One thought on “Semina ya Bishop Maboya Pennyslvania katika picha

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s