Kanisa katoliki Tanzania limewataka wajumbe wa UKAWA kurudi bungeni.

Kanisa katoliki limewataka wajumbe wa bunge la katiba wanaounda umoja wa katiba ya wananchi Ukawa kurudi bungeni na kuendelea kuijadili rasimu ya pili ya katiba bila masharti yoyote huku bunge hilo likitahadharishwa na upotoshwaji au uchakachuaji wowote utakaofanywa dhidi ya rasimu hiyo ambayo ni maoni yaliyokusanywa kutoka kwa wananchi.

–ITV

Advertisements

One thought on “Kanisa katoliki Tanzania limewataka wajumbe wa UKAWA kurudi bungeni.

  1. Warudi wakajadili nini sasa cha maana au matusi na lugha chafu zikaendelee? Tanzania haihitaji katiba mpya, bali inahitaji katiba mpya iliyo bora kwa mstakabali wa watanzania.

    Afadhali wasirudi kabisa ikiwa kurudi kwao kutapelekea kutimia kwa hicho kinachotengenezwa kwa hila halafu kije kiitwe Katiba mpya!

    Badala ya kanisa kuwataka UKAWA kurudi bungeni, linapaswa kuhimiza viongozi wawe wenye kutenda haki kwa wanaowaongoza, likianzia na viongozi wenyewe wa kanisa. (Kwa sababu tofauti ya kinachotendwa na viongozi wengi wa kisiasa almost kiko sawa na kitendwacho na viongozi wa wanaoitwa wa kiroho!)

    Maana haki ndo huinua taifa si katiba wala katiba mpya!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s