Mfano wa Punda na mwanapunda Mathayo 21:1-3

punda

SHALOM!

Mat 21:1-3 “ Hata walipokaribia Yerusalem, na kufika Bethfage, katika mlima wa Mizeituni, ndipo Yesu alipotuma wanafunzi wawili akiwaambia, Enendeni  mpaka kijiji kile kinachowakabili, na mara mtaona punda amefungwa, na mwana-punda pamoja naye; wafungueni mniletee. Na kama tu akiwaambia neno, semeni, Bwana ana wahitaji; na mara huyo  atawapeleka

Hapa ninaona punda walikuwa wawili naomba wasomi mnieleweshe huyo punda wa pili  (mwana) katika msafara ule alitumikaje pale?

 –MARY JOSHUA,

Advertisements

2 thoughts on “Mfano wa Punda na mwanapunda Mathayo 21:1-3

  1. Labda niseme kwamba, sijaona katika Biblia palipoainishwa matumizi ya Punda wa pili, aidha sijaona pia maelezo kwa nini Bwana aliwatayarisha Punda na mwana Punda na isiwe Punda mmoja pekee!

    Lakini kwa Tabia za wanyama, Punda mwenye mtoto hakubari kubeba mzigo wowote iwapo atabebeshwa na mwanaye mdogo mzigo, lakini la pili, Punda hakubari kwenda akiacha mtoto wake nyuma, ukitaka afanye kazi bila usumbufu wowote ni lazima aambatane na mwanaye, lakini pia mwanaye huyo asibebeshwe kabisa mzigo!

    Lakini cha msingi zaidi ni kulitazama Neno la Mungu na kulikubali kila linachokisema. Lipo Neno la Wakati, kwahiyo, ULICHOJALIWA KUKIJUA LEO NDILO NENO LA WAKATI KWAKO NA NDIYO MAANA UKAFUNULIWA ULIJUE, ILI UPATE KUISHI, MAANA UFAHAMU NI UHAI! “MSIJISUMBUE KWA NENO LOLOTE, BALI KATIKA KUOMBA……..”! Sisemi watu wastafiti mambo, mnielewe tafadhali! LILILOFUNULIWA NI LAKO!

    “Ufahamu ni Chembe ya Uhai!”

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s