MVIMAUTA Yapania Kuwakwamua Vijana!!

VIJANA

sehemu ya vijana wa mtandao wa MVIMAUTA wakimwabudu Mungu kabla ya kuanza somo la maadili katika ukumbi wa BCIC Mbezi beach jijini Dar es salaam. picha kwa hisani ya Blog ya AMANI NA FURAHA.

Mtandao wa  vikundi vya maadili na uchumi Tanzania MVIMAUTA umepania kuwakwamua vijana kutoka kwenye umasikini, kwa kuanzia na maadili yakibiblia na hatimaye kuwapa somo maalumu vijana wa Tanzania kufahamu mbinu za kitaalamu za ukulima wa kisasa kwa nadharia na vitendo.

Darasa hilo ambalo limeeanza jijini DAR ES SALAAM kwa kuwapa mafundisho yakimaadili vijana,TAYARI mwitikio wa vijana umekua mkubwa kwani wengi wamejitokeza katika hatua za awali za usajili na madarasa ya awali ya MVIMAUTA.

Mwasisi wa mtandao huo Mwangalizi MKUU  wa wAPO MISSION INTERNATION Askofu Silyvesta Gamanywa ameahidi kuwaleta wataalamu kutoka ndani na nje ya Tanzania watakaotoa elimu hiyo ya kilimo cha kisasa ili kila mshiriki apate kufaidika kutokana na mtandao huo.

Mtandao huo una lengo la kupunguza uhaba wa ajira kwa vijana nchini Tanzania na hatiaye kuondokana na umasikini wa kipato kwa jamii nzima, ambapo wito umetolewa kwa vijana wengi kujiunga na mtandao huo wa maadili na uchumi tanzania  kwakifupi MVIMAUTA.

Advertisements

2 thoughts on “MVIMAUTA Yapania Kuwakwamua Vijana!!

  1. Habar za uzima wana mvimauta” vp huhusu maendeleo ya mvimauta nimuda mrefu sijazipata taarifa yoyote kuhusu ulekeo wa mvimauta naomba mnipe taarifa yamwelekeo maana tangu nilipo maliza mafunzo zijapata taarifa yoyote hadi sasa mimi mwanaMVIMAUTA.

  2. Amina kwa ujumbe huo na mtizamo chanya ulioanzishwa.Maombi yangu kwa mwanzilishi ni kuomba kuwa partner wa jambo hilo.Hivyo ninaomba utaratibu wa kufuatwa ili hata sisi wa MWANZA tuweze kuwapatia vijana elimu hiyo.Nitashukuru endapo ombi langu litafanikiwa .
    Ayoub Leo
    MZEE WA KANISA,FPCT KISESA
    MWANZA.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s