Uzinduzi wa KAMATA PINDO LA YESU kufanyika Dar es salaam!!

Sikiliza wimbo wa Kamata Pindo….

Uzinduzi wa album mpya ya Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando inayoitwa “KAMATA PINDO LA YESU”unatarajiwa kufanyika  August 03 2014 katika ukumbi wa DIAMOND JUBILEE, kuanzia saa 7 kamili mchana jijini Dar es salaam Tanzania, ambapo waimbaji  wote waalikwa wataimba  LIVE, ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe Mwimbaji anayelitukuza jina la Mungu Tanzania ROSE MUHANDO.

Album hiyo yenye mpya kama FACEBOOK, NA KAMATA PINDO LA YESU, na nyinginezo zitakuwa katika video na audio.

Video imetengenezwa na kampuni ya MSAMA VIDEO PRODUCTION, ambayo ni kampuni mpya dada ya MSAMA PROMOTIONS.

Mkurugenzi wa kampuni ya MSAMA PROMOTION ndugu ALEX MSAMA ambaye ndiyo waandaji wa tamasha hilo, amesema kuwa maadalizi  ya uzinduzi huo mpaka sasa yapo tayari na wadau wa muziki wa injili wakae tayari kumtukuza Bwana kwa siku hiyo.

One thought on “Uzinduzi wa KAMATA PINDO LA YESU kufanyika Dar es salaam!!

  1. on may nilifika dukani kwa msama ili nimuonyeshe kazi zangu nikaambiwa:yuko kwenye mzunguko za tamasha nji nzima. Hivi sasa nakuomba uniulizie kama ameanza kupokea waimbaji wapya.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s