Bwana Yesu anaweza kurejesha ndoa zilizokufa!!

Tumeona ndoa nyingi za watumishi wa Mungu zikivunjika au zikiwa katika hati-hati ya kuvunjika kutokana na sababu mbali mbali, ndoa zote zilizo hoi zinahitaji dawa ambayo ni Bwana Yesu!

Karibuni tulishuhudia ndoa ya mtumishi wa Mungu maarufu duniani Benn Hinn Kurejeshwa baada ya kuachana na mkewe kwa muda, zipo shuhuda nyingi za ndoa kurejezwa upya lakini shuhuda mpya ni kutoka kwa mtumishi mwingine maarufu Ron Carpenter ambaye alitengana na mkewe kwa sababu mkewe kutokuwa mwaminifu kwenye ndoa yao.

Mungu ni mwema, anaweza Kuponya!

Mungu aponye ndoa zetu, ombea ndoa za watumishi wa Mungu!

Advertisements

One thought on “Bwana Yesu anaweza kurejesha ndoa zilizokufa!!

  1. Bwana yesu asifiwe wapendwa, mie nimeokoka nampenda yesu naomben muniombee juu ya ndoa yangu nahsi kama tayari imevunjika. tunawatoto 3 na mume wangu tangu mwaka jana mwez wa 12/2014 MPAKA LEO HAJARUD nampenda kwl mume wangu nalia mpaka leo mume wangu hajarud tusaidizanen kumwombea mume wangu arudi nimemkumbuka sana.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s