Elimu ya Mungu ni NURU!

bible

Bwana Yesu asifiwe!

Elimu ya Mungu ni NURU isiyokaa ndani yao watu wabaya; Nao waijuao ndiyo waliofungwa pamoja na Mungu ili utukufu wake ukae kwao na katika hayo basi;

Tunayo thamani kubwa sana sisi tulioipata NEEMA ya kuwa hifadhi ya NURU ya MUNGU tujapo kuwa katika miili hii korofi, miili hii tata, miili hii dhalimu, miili hii yenye tamaa, miili hii yenye kila aina ya adha yenye kuona kiu, njaa na kuumwa,

Lakini je sie yaani sisi;

La kutufaa ni lipi? Hakika wema wa Mungu uliojificha machoni pa wapumbavu ulio wazi kwao wenye uhitaji ndilo jambo lililo bora saana katika sisi.

Ama ninyi mwaona ni?

Maana kama si katika hilo sisi tungejivuna katika lipi? Ama umahili wetu wa kulitaja jina la BWANA pasi na kuyaishi mapenzi yake?

Ni jambo la kumshukuru Mungu wetu ambaye kwa yeye tumekuwa hivi tulivyo; yaani wenye kunena mema ambayo twayaishi, wenye kumulika gizani ili kuleta mwanga!

Basi tujitunze mioyo na nafsi zetu iliĀ tusije tekwa akili na fahamu zetu na ile kawaida ya dunia ikapelekea sisi kuwa waasi wa ile haki ya Mungu iletayo amani na kujenga furaha maishani mwetu!

Mbarikiwe.

–Mwamfupe Anyisile

Advertisements

2 thoughts on “Elimu ya Mungu ni NURU!

  1. 2 TIMOTHEO 3:16

    “KILA ANDIKO, LENYE PUMZI YA MUNGU, LAFAA KWA MAFUNDISHO, NA KWA KUWAONYA WATU MAKOSA YAO, NA KWA KUWAONGOZA, NA KWA KUWAADIBISHA KATIKA HAKI.”

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s