Munishi atoa ushuhuda aliyoyaona kanisani kwa Gwajima!!

munisi

“TANZANIA NILIWASILI SALAMA .

Mapokezi ya kufana Tamasha tukafanya, Maelfu walihudhuria wala MISUKULE sikuwaona nilichokiona ni Umati mkubwa wa watu kwenye Viwanja vya nje jijini Dar wanavyoviita ni KANISA LA UFUFUO NA UZIMA chini ya Mchungaji Bishop Gwajima mwanzilishi wa huduma hiyo.

Pamoja nami alikuwepo Rose Mhando, Bonny Mwaitege, Christine Shusho, Upendo Nkone na wengine wengi.

Bishop Gwajima aliingia na gari yake aina ya HAMMER chini ya ulinzi mkali na akatukaribisha tuimbe kisha yeye akahubiri na sikusikia akitaja MSUKULE ila alimwita Binti aliyedai alikufa siku tatu na alipoletwa kanisani akaombewa akafufuka.

Nliona ni Busara niende Nijionee mwenyewe.

Kwa sasa Nimerejea Nairobi”

–Faustine Munishi

Advertisements

2 thoughts on “Munishi atoa ushuhuda aliyoyaona kanisani kwa Gwajima!!

 1. Ubarikiwe saana mtumishi wa MUNGU

  na uendeleye kufanyikiwa katika mambo yote kama vile roho yako ifanyiavyo

  jambo hili lina heshimisha injili ya Bwana wetu YESU KRISTO

  Aider KAFRANKA

  Evangeliste Eglise YESU NI JIBU

  Skype:aiderkafranka

  Tel:+243990339761  +243822904660

  DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO

 2. Munishi, vipi bwana!!!
  Mambo ya Agano Jipya, yaani huu wakati tuliomo, ni ya rohoni!!!
  Kwa bahati mbaya, uliyatazama mambo hayo mwilini; ungepanda kidogo ktk ulimwengu wa roho, basi kama lilivyo jina la huduma hiyo, huo umati uliouona hapo ndio misukule yenyewe ya kiroho iliyoitwa kutoka ktk mashimo mbali mbali walimokuwa wameshikiliwa; Njooooooooo, kwa Jina la Yesu, Njooooo, Rudishaaaaa!!!

  Isaya 42:22
  “Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.”

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s