Kiongozi Mzuri ni Yupi? – Mch. Peter Msigwa

Photo: Kiongozi mzuri hapaswai kupimwa kwa umahiri wa kutoa zawadi au misaada (handouts) kwa WATU anaowaongoza. zawadi au misaada ni sehemu ndogo ya maana halisi ya uongozi, kiongozi mzuri ni Yule anayetambua kuwa pamoja na uhitaji walio nao WATU anaowaongoza, anapaswa kujua kwa nini wako katika uhitaji, na ni njia zipi zitumike ili kujikwamua kutoka kwenye dimbwi la uhitaji. (Kuwa tegemezi). Rev. Peter Msigwa (MP) 2014.

Kiongozi mzuri hapaswai kupimwa kwa umahiri wa kutoa zawadi au misaada (handouts) kwa WATU anaowaongoza. zawadi au misaada ni sehemu ndogo ya maana halisi ya uongozi, kiongozi mzuri ni Yule anayetambua kuwa pamoja na uhitaji walio nao WATU anaowaongoza, anapaswa kujua kwa nini wako katika uhitaji, na ni njia zipi zitumike ili kujikwamua kutoka kwenye dimbwi la uhitaji. (Kuwa tegemezi).

–Rev. Peter Msigwa (MP) 2014.

2 thoughts on “Kiongozi Mzuri ni Yupi? – Mch. Peter Msigwa

  1. BARIKIWASANA MTUMISHI, KUWA KIONGOZI NI KUTUMIKIA WATU SIO KUTUMIKIWA NA WATU KAMA WATAKAVYO WENGINE.

    “NOTHING IMPOSIBLE TO GOD“

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s