Ibada kwenye TV/Radio au Kuhudhuria kwenye kusanyiko?

Kujumuika katika TV au Radio na kukusanyika pamoja na wenzako kanisani au kusanyiko lolote la kiMunguu wapi kuna faida zaidi?

Press on,

Seleli

Advertisements

2 thoughts on “Ibada kwenye TV/Radio au Kuhudhuria kwenye kusanyiko?

 1. Mi nadhani la msingi hapa ni kutambua FAIDA za kila kimoja wapo ndipo itajulikana kipi kina faida zaidi ya kingine.

  Faida za Kukusanyika uso kwa uso au live:
  -Kuna nafasi ya kushiriki katika utumishi
  -Kunaondoa upweke
  -Ushiriki hai maana kunaweza kuwa na vipindi vya maswali na majibu na vikafanyika hapo hapo
  -Kufahamiana huongeza upendo wa kindugu
  -Inatoa nafasi wa viongozi wa kanisa na wapendwa wenzako kutambua karama au kipaji kilichoko ndani yako kwa ajili ya kazi ya Mungu.

  Mwingine anaweza taja faida zaidi za hili au kuandika faida za kushiriki kwenYe TV

 2. KUKUSANYIKA NA WENZANGU NI BORA ZAIDI MAANA HATA NENO LINAAGIZA TUSIACHE KUKUSANYIKA PAMOJA LABDA KAMA UNA SABABU YA MSINGI YA KUTOFIKA, LABDA UPO KAZINI, MGONJWA, SAFARIN N.K

  “NOTHING IMPOSIBLE TO GOD“

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s