Mungu anataka nini kwetu?

holy

Nyakati hizi tulizo nazo ni za hatari kwani watu hawapendi kumjua au hawamjua Mungu aliyehai kwamba ni nini anachotaka sisi tufanye.Anataka tuwe watakatifu na kuishi katika toba yaani tunapokumbuka kuzaliwa kwa Bwana Yesu tunapaswa toba kwa maan ya tujutie dhambi zetu,kwa maana ya kuziacha,ili tubadilike,na tuanze mwanzo mpya.Mungu anataka kutoka kwetu 1.Mche Mungu. 2.Nenda katika njia zake zote. 3.Mpende Mungu. 4.Mtumikie Mungu. 5.Shika amri na sheria za Mungu. 6.Tenda haki. 7.Penda rehema. 8.Nenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.Kumb 10:12-13,Mika 6:8 TAHADHARI: 1.Tusimpe ibilisi nafasi-kupenda sifa na pesa.Efe 4:27 2.Tusiongeze wala tusipunguze Neno la Mungu Ufunuo 22:18-19. 3.Tusije tukakataliwa 1Kor9:27,Mathayo 7:21 MUNGU ANAPENDA TUWE WATAKATIFU 4.Mtumikie Mungu. 5.Shika amri na sheria za Mungu. 6.Tenda haki. 7.Penda rehema. 8.Nenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.Kumb 10:12-13, Mika 6:8 TAHADHARI: 1.Tusimpe ibilisi nafasi-kupenda sifa na pesa.Efe 4:27 2.Tusiongeze wala tusipunguze neno la Mungu Ufunuo 22:18-19. 3. Tusije tukakataliwa 1Kor9:27,Mathayo 7:21 MUNGU ANAPENDA TUWE WATAKATIFU

Peter Michael Mabula

Advertisements

2 thoughts on “Mungu anataka nini kwetu?

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s