Washukiwa 7 wa uchawi wauawa TZ

uchawiPolisi nchii Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa katika eneo la Kigoma magharibi mwa nchi hiyo kwa tuhuma za uchawi.

Nyumba za marehemu hao pia zinaripotiwa pia kuchomwa.

Polisi anayeesimamia eneo hilo amesema zaidi ya wanavijiji 20 wanaotuhumiwa kushiriki katika kitendo hicho cha kuwashambulia marehemu hao wametiwa mbaroni.

Shirika moja la kutetea haki za binadamu lasema zaidi ya watu 500 hasa wazee huawa nchin humo kila mwaka kwa kudhaniwa kuwa wachawi.

–BBC

Kanisa tupo????

Advertisements

3 thoughts on “Washukiwa 7 wa uchawi wauawa TZ

  1. Harris,
    Unaona sasa!! Kwa hiyo hata ww unaweza kumuua mchawi, mwizi n.k ukimuona? Je, kwa vile ni mtenda muovu ndiyo umuombee mabaya au kumtakia mabaya? Hizo dini zenu hizo!! Iweni makini nazo wapendwa!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s