Maombi juu ya Uponyaji wa mwanangu!

maombi

Ndugu Katika Damu ya Yesu,

Bwana Yesu asifiwe, wapendwa katika Jina la Yesu Kristo naomba kuwashirkisha katika maombi kwa ajili ya kijana wangu anaitwa SEBASTIAN S.KASENGA, huyu ni motto wangu wa kwanza, alihitimu mwaka jana Shahada ya Kwanza katika Chuo kikuu cha Dodoma – UDOM. Tatizo linalomsumbua ni Nervous System- miguu kukosa nguvu na mikono kutetemeka akishika kitu, kwa hali hii inamsumbua sana hawezi kutembea kwenda hata mita 10 mwili unachoka, bado naendelea na matibabu hospital. Imani yangu kubwa ni kwenye Maombi katika jina la Yesu Kristo naamini uponyaji utapatikana, ndiyo maana nawashirikisha wapendwa.

Bwana Yesu Asifiwe;

Naitwa: Samwel Kasenga – mkazi wa Kimara,

Advertisements

2 thoughts on “Maombi juu ya Uponyaji wa mwanangu!

  1. Mungu wetu ni mwema atampgania na kumfunika kwa damu ya Yesu kwa maana umemtazama kwanza yeye

  2. Kasenga,

    Ubarikiwe kujua kimbilio letu lilipo na Mungu akutendee sawa sawa na haja zako. Kwani Yeye ni kimbilio na Nguvu msaada tele wakati wa Mateso. Kwani ni jambo gani gumu la kumshinda yeye. Tupo pamoja. Usisahau kutushuhudia pale atakapotenda.Amen

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s