Kuwaombea Wenye Mahitaji

MEDION DIGITAL CAMERA

Kwako mpendwa unayesoma hapa;

SG inapenda kukuhimiza kutenga muda katika maombi yako kwa ajili ya kuwaombea wapendwa wetu wenye mahitaji mbali mbali ambayo wameyaleta na wanaendelea kuyaleta katika kipengere cha MAOMBI, chini ya MANENO YA FARAJA, hapo upande wa kushoto wa “Homepage” ya Strictly Gospel!

Neno la Mungu linatuagiza KUCHUKULIANA MIZIGO, (Gal 6:2) KULIA PAMOJA NA WALIAO (War 12:14-16) na kwa kufanya hivyo tunakuwa tunaitimiza Sheria ya Kristo!

Ingia katika kipengere hicho cha MAOMBI. Chagua jina moja, mawili, matatu…, kwa kadri utakavyojaliwa; Muulize Mungu kwa ajili ya mtu huyo, mkumbuke katika mahitaji yake. Mungu amjibu sawa sawa na ahadi zake. Na kama kuna mambo yanayokwamisha majibu yake yasimfikie, Mungu mwenyewe akafungue njia. Kwa njia hiyo tutautekeleza upendo wa Kindugu kwa matendo.

Uombapo hivyo sirini, Mungu aonaye sirini Atakulipa kwa kazi hiyo ufanyayo ya kuwainua wengine kwake!

Mungu akubariki sana unapoomba pamoja nasi!

StrictlyGospel.

Advertisements

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s