Kuyaweza Mambo Yote!

PhilipiansWatu wengi huwa wanatumia maandiko hayo katika Waraka wa Mtume Paul kwa Wafilipi 4:13 kwa ajili ya kujipa moyo wakati anapita katika hali ngumu au kama amekutana na jambo lililomhuzunisha moyo. Pia kuna wengine hutumia iwapo anataka kufanya jambo fulani, anaamua kuyatumia maandiko hayo kujipa imani na matumaini kwamba ataweza tuu hata kufanya hilo pia.

Lakini je, Nini maana halisi ya maneno hayo yaliyoandikwa na mtume Paulo kwa Wafilipi?

Wewe unayafahamuje na unaelewa maana ya maandiko hayo ni nini, hasa tukiyasoma kuanzia ule mstari wa 10?

Advertisements

2 thoughts on “Kuyaweza Mambo Yote!

 1. Nimepitia mstari huu nami ninacho cha kusema.

  ni ukweli usiopingika mstari huu wa biblia ni nguvu, faraja, na tumaini kwa wakristu wengi, kwani unatupa sababu ya kuvumilia hali zote tunazokabiliana nazo maishani.
  hapo juu paulo anaeleza kuwa amejifunza kuridhika katika hali zote, iwe kufanikiwa, au kutofanikiwa, hivyo mstari wa 4;13 unatupa kujua maisha yana hali tofauti eidha kufanikiwa au kutofanikiwa na inatubidi KULIDHIKA. ma kumtumaini mwenye kutupa nguvu katika mambo yote, ambaye ni mungu wetu kristo yesu.

 2. Philippians 4:13: How many Christians misuse the iconic verse

  Paul isn’t telling Christians that they should dream bigger dreams; he is reminding them that they can endure the crushing feeling of defeat if those dreams aren’t realized. He’s not encouraging Christians to go out and conquer the world; he’s reminding them that they can press on when the world conquers them.

  Philippians 4:13 is] not really about who has the strength to play to the best of their abilities in a sporting contest…. This verse is about having strength to be content when we are facing those moments in life when physical resources are minimal.”

  Contrary to popular belief, the Bible does not teach “God will give you the strength to do whatever you set your mind to.” (Actually, anytime a foundational view in your theology begins with, “God will give you”, stop and do a double-check.) God is not a heavenly bellhop or divine sugar daddy or cosmic power plant to fuel your dream-quest. Tweet Instead, the Bible teaches, God is a sustainer when life feels unsustainable.

  And if you’re like me, this is a “good news” message. Because my experience is that life is messy and thorny and unpredictable and chock full of disappointments. Most of them, a result of my own doing. I don’t need a God who motivates me to pursue my career dreams or chase down opportunities for personal advancement. I possess that drive on my own. Instead, I need a God who hunkers down in life’s trenches with me, who isn’t afraid to get mucky and messy and wade with me through tragedy and pain and failure.

  The God of the Bible—Jesus—is better than we’ve imagined because he gives us what we actually need: strength to survive our moments of weakness and a sense of freedom even in life’s prisons.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s