Mwimbaji wa kimataifa atoa changamoto kwa wakristo wote duniani!

Kirk Franklin Hosts Listening Session Of Tasha Page-Lockhart's  "Here Right Now" Album

Mwimbaji wa kimataifa Kirk Franklin ametoa changamoto kwa wakristo wote kumfanya Mungu kuwa maarufu au kujulikana na watu wengi katika mwaka huu wa 2015. Mwimbaji huyo alisema wakristo wengi wanaishi kwenye hofu ambapo wanajikuta kushughulika na vitu ambavyo vimepewa majina kama sio vya kikristo.

 “Wakristo wengi wanaogopa kupoteza kitu ambacho hawajawahi kuwa nacho, hatuwi na marafiki wasiookoka, hatusikilizi aina nyingine ya muziki kwa sababu tuna hofu, mambo mengi tumeyabandika kama ni ya kishetani. Kwa hiyo kila kitu kinachotuhusu, vipawa vyetu, usemi, ubunifu wetu vinaishi kwenye puto, hivyo watu wanaotusikiliza, wanawaza kama sisi. Kama imani yako haijakomaa, itahukumu wengine, mwaka huu wa 2015, puto inabidi lipasuke. Na bado tunaweza kumuinua Bwana Yesu kwa kishindo.

Unawazaje kuhusu changamoto hii?

Advertisements

2 thoughts on “Mwimbaji wa kimataifa atoa changamoto kwa wakristo wote duniani!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s