Faraja Nyarandu Ajivunia kutumika kwa Utukufu wa Mungu!

https://strictlygospel.files.wordpress.com/2015/02/a591b-10903737_899149073459055_1848425681_n.jpg?w=545

Watu wengi wamekua wakiona aibu au kutojivunia Imani yao juu ya Bwana Yesu, lakini wapo wengine ambao wako tayari kuonesha Imani yao kwa ujasiri kwa wote waliowazunguka, hivi karibuni Faraja Kotta Nyalandu ambaye ni mke wa Waziri wa Mali Asili na Utalii, Lazaro Nyalandu amekuwa akionesha Imani yake sehemu mbali mbali amekuwa akizungumza habari za Bwana Yesu. Kudhihirisha hilo hivi karibuni kwenye mtandano wa kijamii aliandika maneno yenye kutia moyo.

Aliandika “Watu wengi hawana mipango ya muda mrefu kwasababu wanataka kila kitu kitimie wakiwa wanakitazama. Nyakati nyingine inawezekana wewe ni mpanda mbegu tu na watakaovuna ni wengine. Ukiishi kwa ajili ya Utukufu wa Mungu na sio utukufu wako hautosumbuka kutafuta sifa rejareja. Tena haitojalisha kama ‘watakaopata’ sifa juu ya juhudi zako ni watu wengine. Kwasababu utukufu si wako, ni wa Mungu. Utakubali kuotesha mizizi imara kwaajili ya manufaa ya wengi na wengine. Juzi, Mfalme wa Saudi Arabia (May he rest in peace 🙏) licha ya utajiri na madaraka yake alirudishwa mavumbini. Very humbling. Sijui wewe, lakini mimi niko tayari kutumika kwa utukufu wa Mungu”.

Haya aliandika kwenye mtandao wa kijamii wiki moja baada ya kuandika yafuatayo:-

Your faith will be tested before any great miracle. Ukitaka jambo kubwa na imani yako itapimwa kwa ukubwa huo huo. Miujiza yote ya kwenye vitabu vitakatifu ilitanguliwa na kitendo cha imani. Bwana Yesu ilibidi atoke nje ya boti ili kutembea juu ya maji. When I was watching Exodus the movie few weeks ago, I couldn’t help but be inspired by Moses’ faith. Putting his life on the line, risking Pharaoh’s wrath because he had faith. Uko tayari kwa muujiza wako? Uko tayari kutoka nje ya boti? Uko tayari kupimwa? Kuwa jasiri, kuwa na imani. #PamojaTunaweza

Mungu akubariki dada Faraja,…Iende Mbele Injili!

Advertisements

2 thoughts on “Faraja Nyarandu Ajivunia kutumika kwa Utukufu wa Mungu!

 1. Such a brilliant post by the woman of God.
  We have become so busy and occupied with sudden wealth and fame that we forget the purpose to why we are here. She put things in great prospective when she reminds us the fate of King of SA.
  One point I might add to the great woman of God is that, as Christians, we should always refrain from using words such as RIP. Obviously, the king was a follower of Christ, so his fate should be easy to predict….

 2. Ndio mwanzo mzuri …………Lakini ktk maandiko matakatifu(Biblia)nimetafuta na kuangaza hakuna maandiko yanayoonesha Bwana Yesu alitoka ndani ya boti,
  Aongeze bidiii kusoma na kulitafakari Neno la Mungu.Kabla ya kulitumia.

  STAY IN THE BOAT ……..Salvation is in the boat.
  …..Matthew 14:22-33………Acts 27:30-31……

  Mjoli Haule

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s