Mungu bado anachukukia vitu vifuatavyo!!

“Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake. Macho ya kiburi, ulimi wa uongo, Na mikono imwagayo damu isiyo na hatia; moyo uwazayo mawazo mabaya; miguu iliyo myepesi kukimbilia maovu; shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitna kati ya ndugu”

–Mithali 6:16-19

Advertisements

3 thoughts on “Mungu bado anachukukia vitu vifuatavyo!!

  1. Nashukuru kwa Mtoa Somo hii na yule aliyeanza kuchangia. Kuna Uongo huu wa kama mtu anakuomba umkopeshe, umwazime au umsaidie pesa halafu tunasema SINA kitu kirahisi wakati unayo mfukoni, nyumbani au benki unayo pesa hiyo ila unashindwa kusema kweli kuwa ninacho ila siwezi kukupatia. Ukiogopa lawama,kutorudishiwa n.k

    Je tutafika Mbinguni wapendwa kama Neno la hakuna kinyonge kitakachoingia Mbinguni litasimama katika nafasi yake?.

  2. Bwana yesu asifiwe wapendwa mimi nikupongeze mtoa maada nami nichagie kuhusu jambo moja ambalo bwana analichukia na wengi hili jambao hili wanajikwaa kila wakati nalo ni:-
    ulimi wa uongo leo watu wengi ni waongo na wamefika kuona uongo kama sio dhambi jamani ebu tukumbusane biblia inasema waongo wote hawataurithi uzima wa milele soma (ufunuo 21:-8) hii dhambi imewakumba wengi mtu anapigiwa simu yupo nyumbani alipaswa kuwepo kazini unasikia mtu anajibu niko njiani wakati bado yupo nyumbani,mtu anaulizwa mbona hukuja ibadani anadanganya kwa kutafuta sababu jamani kwa nini twende jehanamu kwa ajilii ya uongo
    ndio maana mtume yakobo anasema mtu asiye jikwaa huyo ni mkamilifu.ebu tumwombe Mungu aponye vinywa vyetu atuwekee lijamu kila tunenalo tutafakali kama hatatamkosea huyu mungu
    balikiwa nyote

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s