Tofauti kiutendaji Mtumishi, Mhubiri na Mchungaji!!

uinjilisti

Bwana Yesu asifiwe, mimi ni mchanga kiroho naomba kujua kazi za hawa wafuatao; Watumishi,Wahubiri na Wachungaji. Nimegundua wainjilisti ni wengi sana kuliko wachungaji na wahubiri wengi ni rahisi kufanya uinjilisti kuliko uchungaji, Mwinjilisti anaweza kuhubiri kwa nguvu ya moto wa Injili, na utaona watu wengi wanakuja kwa Bwana Yesu. Na itakuwaje kuhusu wale waliompokea Yesu? maana mwinjilisti amehusika kuwaleta wale watu kwa Yesu mchungaji ana kazi ngumu ya kufanya peke yake kuwasaidia wale watu hivyo inapelekea makanisa mengi wanachungwa na wainjilisti na si wachungaji. naomba mnieleweshe hapo

A.M

2 thoughts on “Tofauti kiutendaji Mtumishi, Mhubiri na Mchungaji!!

 1. Bwana Yesu asifiwe
  zote ni huduma sawa hakuna kubwa wala bora kuliko nyingine Mungu alikusudia hizi huduma zote tano ziwepo ndani ya kanisa la mahali pamoja ili kuwakamilisha watakatifu soma (waefeso 4:-11..15) leo wakristo wengi wana mapungufu hata kama yesu akija leo anaweza akakosa mtu wa kumunyakua kwa sababu ya viongozi wa makanisa kushindwa kuishi sawa na neno la bwana linavyo elekeza leo ni huduma moja tu ndio inaonekana bora kuliko huduma nyingine ambayo ni ya kichungaji sisi tumeona yesu hana maana aliyeinua huduma tano za kuwakamilisha watakatifu
  mfano biblia inasema iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote lakini ukichunguza hata watu wasioamini wanashindwa kutofautisha kati ya wao na watu wanao sema wameokoka wakati kazi ya Yesu alikuja kutafuta na kumwokoa mwanadamu aliyepotea katika dhambi soma (luka 19:-10) utashanga kuona miaka kalibu elufu mbili tangu Yesu ameenda kuandaa makao ya watakatifu watu wanaendelea kupotea
  1.kupenda dunia (1yohana 2:-15) kwa kukosekana huduma tano makanisani hakuna tofauti kati ya wanaompenda yesu na wanao penda dunia mfano fatilia halisi leo zinafungwa makanisani nguo za uchi ndio zinavaliwa na wachungaji wala wakemei dunia ndio imeingia kanisani kanisa ndio linaiga dunia badala dunia ingeiga kanisani
  kwani Yesu anasema sisi ni nuru ya ulimwengu,
  sisi ni chuvi ya dunia soma mathayo (mathayo 5:-13..14)
  leo niishie hapo Mungu awabaliki kwa michango

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s