Wanefili wanaishi wapi kwa sasa?

bible

MUNGU Awabariki nyote kwa kulifafanua Neno vizuri nina swali moja hivi hawa manefili wanatajwa katika biblia kwa leo wako wapi?

–Joshua Chibon

Advertisements

One thought on “Wanefili wanaishi wapi kwa sasa?

 1. Wanefili wametoweka …..ila kuna mabaki yao yaliogunduliwa iraq,saudi arabia marekani texas na nchi za ulaya. huko iraq walikuwa wanafahamika kama annunaki (myth) au elohim biblia inaeleza mwanzo 6:4 “Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa”.
  na hata hesabu 13:33 “Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi”
  utagundua neno anaki (annunaki) .
  ireland kuna mabaki yaligundulika wakati uchimbaji madini alikuwa na urefu wa futi 12 mguu wa kulia alikuwa na vidole 6, mabaki yake yalikuwa na uzito wa tani. 2..(Traces of the Elder Faiths of Ireland” by W.G. Wood-Martin)
  Uturuki miaka ya 50 katika bonde linaloitwa euphrates walikuta mabaki yao mfupa wake wa paja ulikuwa urefu inch 47.24………
  Maelezo zaidi pitia marejereo haya
  http://en.wikipedia.org/wiki/Anunnaki
  http://www.biblebelievers.org.au/giants.htm

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s