John Piper Ask Why Do “PhDs in Theology Commit Adultery”?

This two-minute clip comes from a new message from John Piper, “Make War: The Pastor and His People in the Battle Against Sin.” The full message and all the audio and video from the 2015 Desiring God Conference for Pastors is available free of charge. http://desiringGod.org/conference-mes…

Advertisements

3 thoughts on “John Piper Ask Why Do “PhDs in Theology Commit Adultery”?

 1. Je, tusemeje basi;

  Kwamba aliçhokimaanisha John Piper kusema ni kwamba watu wenye degree na elinu za Theolojia ni wazinzi?

  Jibu ni, hapana!
  Je, hakuna wakristo ambao wanazini wakati hawakumjua kristo kutokana na Theolojia na wala hawana elimu hiyo, na zaidi ya yote wanaipinga?

  Jibu ni, wapo!

  Kwa hiyo anachosema John ni kwamba, kujua au kuwa na elimu ya Theolojia si lazima kuwa mtu kamjua Mungu, ndio maana mtu anakuwa mzinzi na elimu yake hiyo.

  Nami nakubaliana na hilo, lakini naenda ndani zaidi kwamba, mtu kuwa mzinzi si kwa sababu hamjui Mungu, hata wanaomjua Mungu wengi tu huishi maisha ya dhambi (uzinzi)japo wanamjua.

  Kumjua Mungu ni kitu kimoja, na kuwa/kutokuwa mzinzi ni kitu kingine.

  Kuna watu wana degree ya Theolojia na Mungu wanamjua na si wazinzi (wadhambi)

  Kuna watu wenye degree ya Theolojia na Mungu wanamjua lakini ni wazinzi.

  Na kuna watu hawana degree Theolojia, Mungu wanamjua, na si wazinzi.

  Lakini pia kuna watu hawana degree ya Theolojia, Mungu wanamjua, lakini ni wazinzi vilevile.

  Issue si kumjua Mungu, bali ni kushika amri zake ndiko kunamfanya mtu ashinde dhambi (uzinzi).

 2. Haya ndio MATUNDA MOJAWAPO ya Theolojia.Pasta amenena bila UNAFIKI,ingekuwa ni baadhi ya hawa Pasta wa TZ angesema huyu Pasta HANA maadili ya THEOLOJIA au AFUKUZWE ajira ,

 3. Hahahaha……! Wana PhD ktk Teologia halafu ni wazinzi!!!
  Pasta anauliza, Kwanini? Ktk jibu anasema ni kwa sababu Hawamjui Mungu!!!

  Anasema unaweza ukajifunza Teologia maisha yako yote na usimjue Mungu!

  Hili kweli kabisa, Teologia huzalisha wakristo wenye mfano wa utauwa tu; wana bidii sana ktk kazi ya Mungu isiyo na mbegu, ndio maana wakristo wanaozaliwa hapo huwa hawakui kiroho kwa sababu mafundisho manyonge hayawezi kumfikisha mwaminio ktk kuzaliwa kwa Roho hata aweze kukua kiroho!!!

  Gbu pastor!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s