Kiu yangu ni kuongezeka zaidi katika kumjua Mungu – Angel Bernard

Huu wimbo niliupata palepale studio. I heard the beat and hapohapo maneno yakaflow… Yes, ilikuwa ni desire yangu sana kujazwa zaidi Na zaidi, nilikuwa na kiu sana ya kukutana na Mungu katika hicho kipindi.

Mungu alifanyika halisia zaidi kwangu after that song, ikawa ni Maombi yangu na raha yangu zaidi na zaidi.

My message: Kiu yangu ni kuongezeka zaidi katika kumjua Mungu. I believe kama tusipoishi Kwa mazoea kuna mambo zaidi tutayajua na kuyapata kupitia Mungu.

Namshukuru Mungu sana Kwa kuwahudumia. Get ready for DVD launching tarehe 10 may.

–Angel Bernard

4 thoughts on “Kiu yangu ni kuongezeka zaidi katika kumjua Mungu – Angel Bernard

  1. Congrats angel, tutamani sana kupata nyimbo za kumwabudu Mungu katika roho Na kweli. True worship is very meaningful to God than just singing. Where you will launch your DVD? How can I get it here in Arusha?

  2. Napenda sana songs zako mdada ubarikiwe sana hasa album yako ya new day….kwa kweli ni gospel kizazi kipya ubarikiwe sana

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s