Vazi la Askari!

askari1

Mtumishi ubarikiwe kwa huduma!lakini na Mimi kuna ndoto inanichanganya nimeota ndoto Mara tatu kuwa nimevaa vazi la askari nini maana yake?

Witness Haule

Advertisements

2 thoughts on “Vazi la Askari!

  1. unahitajika kusimama kiume kwa ujasiri katika kumtumikamikia bwana ingia shambani mwa bwana kuitenda kaz na uamue na ujue uko vitani na shetani
    kabla ya kuingia kaingia kazini unapaswa kuomba mungu akupe hekima na muongozo

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s