Album 2 kuzinduliwa Dar kiingilio kununua DVD tu!!

ab

*********IT’S ON**********

Ni Uzinduzi wa album mbili kwa pamoja. Yaani NEWDAY by Angel Benard na ONGOZA by Godsave Sakafu, wakisindikizwa na waimbaji kama Bomby Johnson, Paul clement, Miriam Lukindo, Jessica BM, Tumaini Njole, Christopher Wa “Mungu ni Mungu tuu”, El-andre Na wengine weengi.

Isaya 61:1.
KIINGILIO: NI KUNUNUA DVD TUU!!
MAHALI: Posta jengo la PSPF au Golden tower.

Kwa maelekezo zaidi jinsi ya kujipatia Tshirt au maelekezo zaidi kuhusu uzinduzi piga simu 0759444488

Advertisements

One thought on “Album 2 kuzinduliwa Dar kiingilio kununua DVD tu!!

  1. “Good mungu kaweka kitu ndani yenu…..si mbaya brother Sakafu ukapakumbuka Udom kwenu siku moja ukaja na Mama yetu ANGEL BENARD kutupa show ukumbi wetu Chimwaga……”

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s