Muda ni Mali!

kisela

Hata ALFAJIRI NA MAPEMA SANA akaondoka, akatoka akenda zake mahali pasipokuwa na watu, akaomba huko (Marko 1:35). Watu wakuu wanaofanya mambo makubwa huamka alfajiri na mapema SANA na kuanza kuiweka siku yao kwenye mstari kwa maombi, kwa kusoma, na kupanga mambo ya kufanya siku hiyo. Je wewe leo umeamka saa ngapi na umefanya nini? Kubadilisha muda wa kuamka ni hatua ya kwanza muhimu kwenye kuukomboa wakati (Waefeso 5:15-16) mwingi ulioupoteza na kwenye kubadilisha maisha yako kabisa. Usiishi maisha ya kawaida tena, muda ni mali, muda ni maisha, utumie vizuri kwa kufanya mambo yenye manufaa yanayoongeza thamani, usiupoteze na usiuchezee, wala usiwaruhusu wengine wakupotezee muda wako wa thamani.

–Cosmas Kisela

Advertisements

3 thoughts on “Muda ni Mali!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s