John Magufuli kugombea Urais kwa ticket ya CCM!

magufuli2Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtangaza dk. John Magufuli kuwa mgombea wake wa kiti cha Urais katika uchaguzi mkuu wa ujao. Kwa mujibu wa CCM amepata kura 87 % za wajumbe akifuatia Bi Amina Salum Ali alipata  10.5 % naye Dk. Asha-Rose Migiro asilimia 3.

Kutokana na ushindi huo Daktari John Magufuli ndiye atakaye kuwa mgombea urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

Tuendelee kuombea amani ya nchi yetu pia tupate viongozi wenye hofu ya Mungu.

Advertisements

3 thoughts on “John Magufuli kugombea Urais kwa ticket ya CCM!

  1. Ashukuriwe Mungu ambaye yeye hutupangia na kutufikilia mema kila siku! Kinachonitia moyo na kuniondolea hofu ni kwamba hakuna utawara utakaojiweka wenyewe. Kila utawara na Mamlaka zote Mungu huziweka yeye kwa makusudi na kwa nia yake Mungu mwenyezi. Tunapaswa kuheshimu mamlaka itakayowekwa, lakini kura ndiyo ikomeshayo marumbano. Asiyepiga na yule ambaye hatapiga kura asiseme neno lolote, anyamaze kimya!

    “Ufahamu ni chembe ya Uhai!”

  2. Tanzani sasa inahitaji kiongozi mwenye maono mema juu ya taifa ili akiingia Ikulu aanze kuyafuata.

    Anatakiwa raisi atakayeweka HAKI mbele. Haki huinua Taifa!!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s