Raisi wa Gambia atangaza kuwashughulikia mashoga!

Raisi wa Gambia Yahya Jammeh ametangaza hadharani kwamba hataona huruma kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya kishoga. Ambapo mwishoni mwaka jana alisaini sheria ya kuwafunga maisha watakaopatikana na hatia.

Hata hivyo, suala la ushoga bado limekuwa gumzo duniani ambapo nchi mbali mbali kuzua mijadala na Imani ya wakristo kuyumbishwa kwa baadhi yetu, watumishi wa Mungu pia wametoa matamko yao hadharani kupinga na kusimama na Neno la Mungu lakini pia kuna wengine ambao wanawatetea mashoga na kuwataka watu wawapende na kutowatenga maana si wao waliojiumba.

Wakati haya yakiendelea, sisi tuzidi kumtazama Bwana Yesu atukute tayari hata ajapo.

 

Advertisements

One thought on “Raisi wa Gambia atangaza kuwashughulikia mashoga!

  1. Kweli Tumuombe mungu Hatupiganie katika vita hii……wanachofanya hawa illuminati ni mere exposure mbinu ya wataalam wa wanasaikolojia wa jamii (Social psychologist) mada hii kwa ulimwengu wa leo iwepo kila mahali au kuonyesha vitu hivi kuanzia katuni za watoto kama subliminal message katika channel kama za Disney, Nickelodeon, cartoon network, na baadhi ya nyimbo zinazopatikana katika channel ya JCTV hawa wanajulikana kupiga nyimbo za kikristo kutoka marekani contemporary christian music lakini undani wake nyingi sana ni ushetani mtupu na zinahamasisha masuala kama hayo…….Wakristo vilevile kuweni makini na kundi hili la nyimbo za kikristo The Hill-song sababu na wao ni walewale Mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s