Walioteketeza kanisa Israeli wakamatwa!

Polisi wa Israel wamewakamata watu kadha waliochoma kanisa mwezi uliopita katika bahari ya Galilaya ambapo ni eneo linapoaminika Bwana Yesu Kristo aliwalisha watu maelfu mikate na samaki.

Watu hao walipochoma ukuta wa kanisa hilo waliandika maandishi ya kiyahudi kuudhalilisha Ukristo na kwa mujibu wa maafisa wa upelelezi wamesema hao ni Wayahudi wenye msimamo mkali.

–BBC

Advertisements

2 thoughts on “Walioteketeza kanisa Israeli wakamatwa!

 1. Kweli haya mambo yamefungwa mpaka majira yaliyowekwa kuna rabbi wao mmoja anaitwa Yitzhak kaduri anaheshimika sana na taifa lao alishaawaambia kabla kufariki kwake Yesu wanaemkataa ndie masihi na iliwachanganya sana
  Before his death, Kaduri had said that he expected the Mashiach, the Jewish Messiah, to arrive soon, and that he had met him a year earlier. It has been alleged that he left a hand-written note to his followers and they were reportedly instructed to only open the note after Rabbi Kaduri had been dead for one year. After this time period had passed, the note was opened by these followers and was found to read, “ירים העם ויוכיח שדברו ותורתו עומדים” (translated as “he will raise the people and confirm that his word and law are standing”), which by acronym, suggested the name “Yehoshua” .

 2. Haya sasa,
  Kila mara tunawaambia kuwa hawa jamaa hawautambui Ukristo (hawalitambui kanisa) zaidi tu ya kuona kuwa tunachafua jina la Mungu wao (Yehova), kwa kule kudai kuwa na sisi eti ni Mungu wetu.

  Mambo haya yamefichwa machoni pao hata wakati ulioamuriwa, lakini wakristo wanaamini kuwa Judaism ndio waliobarikiwa, ndio wenye Mungu kuliko kanisa. Ndio maana watu wakienda kuhiji Israel wanajiona wamefika kwenye nchi ambayo Mungu yupo kuliko wanakotoka wao.

  Na huku kunatokana na kushindwa kwa kanisa kumdhihirisha Kristo katika uhalisia wake kwenye nyanja zote za maisha.
  Wakristo sehemu kubwa duniani ndio maskini zaidi, lakini Wayahudi wakisoma habari za kuja kwa Masia wanaona ni tofauti kabisa na tulivyo wale ambao tunadai kuwa Masia yuko nasi (yaani sisi Kanisa). Hivyo wao hudai kuwa kama wakristo wangekuwa kweli na huyu Masia wasingekuwa na hali duni kama walizonazo leo.

  Na madai yao kwa mtazamo wangu ni ya kweli, maana Paul anaweka wazi kuwa Kristo alikuwa masikini ili sisi tusiwe masikini, lakini sasa hivi kanisa limekuwa ni masikini tu kama Kristo alivyokuwa masikini -( 2Cor 8:9 -For you know the grace of our Lord Jesus Christ, that though he was rich, yet for your sake he became poor, so that you through his poverty might become rich -NIV).

  Mpaka hapo mtu unaona kabisa kuwa Poverty haitoki kwa Mungu.

  Wayahudi wanaamini kuwa umasikini siyo tu ni laana, bali ni dhambi kabisa!

  Na Mungu kuamua kuwageukia mataifa alitaka awatie wivu Israel kutokana na kubarikiwa kwa mataifa ambao ni jamii ya Kanisa, ili wajue kuwa Mungu ni Mungu wa dunia yote na watu wote -( Romans 11:11 – I say then, Have they stumbled that they should fall? God forbid: but rather through their fall salvation is come unto the Gentiles, for to provoke them to jealousy- KJB)

  Huhitaji kwenda Israel ili ubarikiwe, wala huhitaji kuiombea/kuibariki Israel ili ubarikiwe, baraka haziko huko, bali ziko kwa Kristo ambaye yuko ndani ya kanisa, yaani wewe na mimi!

  Maana ya kumbariki Israel kwa leo ni Kulibariki Kanisa, siyo nchi ya Israel!

  Let us pray for the church!

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s