Album Mpya ya Happy Kweyamba

CD Cover

Mtumishi wa Mungu na muimbaji ambaye ni mwana SG wa muda mrefu, dada HAPPY KWEYAMBA (Happy Kapologwe), anapenda kukushirikisha Uwepo wa Album yake ya kwanza inayojulikana kwa jina UNIFANYE DHABIHU HAI kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha.

CDs zinapatikana pale FPCT Kurasini, Dar es Salaam kwa kuwasiliana na:

-Ntuli Kapologwe kwa simu namba 0769-220580.

-Lugano  kwa namba 0717 320497/ 0764235551, huyu yupo mobile, anaweza kumletea mtu popote alipo ndani ya Dar.

Kwa walio nje ya Tanzania unaweza kusema ulipo kisha atakuelekeza jinsi ya kuipata Album hii.

Unaombwa kumuunga mkono katika kazi hii ya Mungu kwa kadri itakavyowezekana!

Barikiwa.

Advertisements

3 thoughts on “Album Mpya ya Happy Kweyamba

  1. Haleluya, kazi kuu yetu tulioitwa kwa Jina Kuu lipitalo majina yote,Jina lililo hai la Yesu Kristo ni kuhubiri injili.
    Mungu akutetee na kukufanikisha maana umejitoa kuifanya kazi ya Mungu.
    Ubarikiwe

  2. Mungu akubariki dada kwa Album yako…matamani Strictly Gospel wangetuwekea japo kipande kidogo tusikilize.
    Imani Mjelwa

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s