Tushirikishane Matendo ya Mungu.

twisters_miracle_02

Tunaamini Mungu ni MTENDA MIUJIZA! Na inawezekana wewe ni shahidi wa Matendo ya Miujiza ambayo Mungu anaendelea Kutenda, hata sasa!

Tofauti na muujiza wa Kuzaliwa Mara ya Pili;Je, Ni MUUJIZA GANI ambao ULIONA kwa macho yako, ULITOKEA KWAKO au ULISIMULIWA ambao ulikushangaza na ukakupa uhakika kabisa kwamba KWELI MUNGU NI MTENDA MIUJIZA?

Advertisements

One thought on “Tushirikishane Matendo ya Mungu.

  1. MIMI NINA SHUKURU MIUJIZA ZAIDI JUU YA MAISHA YANGU NIKO MUZIMA KWA LEO NINA MIAKA 55 NIMEPITA KWENYE SHIDA MINGI PORINI NA AJALI YA LORI NA WAJAMBAZI LAKINI KWA LEO NIKO MUZIMA LAKINI YA KUSEMA IKO MINGI JUU YA MIUJIZA YA MUNGU

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s