MILIMA, MITO, BAHARI na Uhusiano wa Kiroho

Lakes and Rivers Desktop Wallpapers001

Je, Kuna uhusiano gani wa KIROHO na Milima, Mito na Bahari?

Amri Kumi zilitolewa Mlimani – Kutoka 31:18.

Yesu alisulubiwa Golgotha, Mlimani – Marko 15:22

Wale majini waliowaingia Nguruwe waliwapeleka Baharini – Mathayo 8:32

Kuna maneno mengi mitaani na shuhuda nyingi makanisani zinazohusisha Milima, Mito na Bahari na mambo ya Kiroho, ya kiMungu au ya Shetani.

Je, maeneo hayo yana uhusiano gani na mambo ya rohoni?

Advertisements

4 thoughts on “MILIMA, MITO, BAHARI na Uhusiano wa Kiroho

 1. Kumtukuza Mungu kwa uumbaji wake nijambo litakalo tuongezea nguvu za kushinda maana jicho lake lipo kila mahali Na mkono wake Ni mrefu

 2. Wapendwa,

  Ninachofahamu ni kwamba Mito, Milima na Bahari ni mambo Biblia inayoshudia kuwa ya kiroho:

  “Zaburi 98:8 MITO na ipige makofi, MILIMA na iimbe pamoja kwa furaha.
  Zaburi 46:2 Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, Ijapotetemeka MILIMA MOYONI mwa BAHARI.”

  Haishangaze kama Ibilisi anatumia hiyo hiyo njia kwani Ibilisi naye anayapitiya mapito ya ulimwengu wa roho.

  Mungu awabariki.

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s