Askofu Gwajima ajibu tuhuma za Dr Slaa

Advertisements

5 thoughts on “Askofu Gwajima ajibu tuhuma za Dr Slaa

 1. Mimi nafikiri Gwajima alikuwa hajui nini anakisema. Pia hajui nini wito wake. Nakumbuka Gwajima aliwahi kusema kuwa namnukuu” Kama Lowasa asipokuwa Rais mimi naacha uchungaji” mwisho wa kunukuu. Wakati mwingine tuwe makini na maneno tunayaongea,

 2. TUWAOMBEE VIONGOZI WETU HASA WA DINI UKRISTO HAUENDE HIVI SIO IMANI TUNAYO IRITHI KUTOKA KWA MABABA WAKIROHO KAMA NGWAJIMA TUMWOMBEE ROHO WA MUNGU AMWONGOZE.

  Tumsifu YESU KRISTO Kwa mm binafsi Sio sahihi kabisa kulingana na huduma anayo itoa Kwa hasa roho anazo ziimanisha imani ya Bwana wetu YESU KRISTO inapokuja kwenye kutafakari pia waumini wake maongezi yake inaleta mkanganyiko mkubwa kwani yy ana fundisha Kuwa tuombe Mungu atupe viongozi then yeye ana lazimishia mambo Sawa na watu ambao hawana hiyo imani aliyo nayo hivyo wasiwasi kwamba na yeye ni moja ya hao wanaotaka umaarufu kwasababu Lowassa ame nyamaza na anendelea na kampeni je vipi kuhusu mtu mwenye imani ya YESU KRISTO.mm nathani mtumishi wa Mungu anataka umaarufu Kwani Kabla ya hili aliji hususha na mambo Kama haya ya umaarufu keep busy vyombo vya habari huku sauti yake ikirindima kwenye YouTube pia naamini kila mtu ana ndoto ya kutaka kuwa tofauti ndani ya huu mda mfupi tukiwa ulimwengu huu cha Msingi ni kuhakikisha huendi tofauti na roho Mtakatifu kupigania/kutimiza kusudi Mungu alilo liweka Kwa kila mtu kwani ngwajima hakuwa na umuhimu sana wa yeye kumjibu Slaa Bali ni uzaifu ambao wanaendelea kuuonyesha Kwa waumini Kwani wote wawili walikiri kumpokea YESU KRISTO yani wanamfahamu pia walikiri kulisha/kuchunga kondoo wake.
  Mungu ibariki Tanzania wabariki viongozi wetu.asante

  Warm regarding.
  Frank

 3. Mtaumiza vichwa bure ndg zangu, hao ni wapakwa mafuta wa siku za mwisho, hawana Injili na wala hawaijui, wao ni watu wa miujiza tu!!!

  Kama huyu hata upeo wake ni mdogo saaana, nashangaa kwamba ni rafiki ya Lowasa na Dk Slaa, labda walikuwa wanamnyemelea lile kundi alilonalo aliongoze kwao wawape kura; na ktk Lowasa kuingia Chadema, ikampa ahueni ya ampe nani ile “misukule” yake, ndipo suala la ushenga likaingia!!!

 4. Binafsi naona sio sawa kabisa! naweza kurefer wimbo wa Munishi aliimba “injili siasa pamoja ni kama mafuta na maji ukijaribu kuchanganya wala havichanganyikani”
  Niliisikiliza hotuba yote mwanzo hadi mwisho…sioni mantiki kwa mtumishi wa Mungu kujiingiza na kujihusisha na siasa kama afanyavyo Mch J Gwajima kwakuwa anapaswa kuchunga kundi la kristo na kuhakikisha hawa watu wamefika salama kwa Baba, sasa kuwa mshenga tena mbona ni nje ya kusudi la Mungu nionavyo mimi.
  Alipaswa kutulia na kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, Binafsi sioni kama inafaa kutoa siri za washirika ndio maana watu wote wanakuita Baba.

 5. Kwa kweli binafsi na sikitika hali hii inayoendelea, Hivi alikuwa mpatanishi wa nini hasa? Kwani kulikuwa na ugomvi wa Luasa? Kama yeye alikuwa mpatanishi alitakiwa kumpatanisha Loassa na CCM, pia alishindwa kujibu maswali ya waandishi wa habari. Suala la mausiano ya ndoa yy linausu nini katika mazunguzo yake, Ushauri wangu kwake achaguwe moja tu, siasa au kumtumikia Mungu. Pia anazungumzia nyakati, Anataka kusema Loasa ni Yesu? Au Loasa ni Kweli? Hivi yy ndiye msemaji wa Chadema? Kweli ni mshenga. Hakuna aliyekamilika hata mmoja chini ya jua. Pia anaendelea kupotosha jamii, na kuwajengea hotu kwa kauli zake, Pia Maskofu watanzania wanatakiwa kuangalia sana kauli za watu ambao wameibuka na kuvaa vyeo vya uaskofu.

  timothywp@live.com

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s