UCHAGUZI: John Pombe Magufuli atangazwa kuwa Rais

wpid-wp-1446238727772.jpeg

Uchaguzi Mkuu kwa Tanzania ambao uliohusisha uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais umemalizika kwa kuchaguliwa ndugu John Pombe Magufuli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania

Advertisements

6 thoughts on “UCHAGUZI: John Pombe Magufuli atangazwa kuwa Rais

 1. Kwakweli Mungu atusaidie kanisa la leo.
  Tumeacha Neno na kufata hisia na ushabiki. Mtu yeyote aliyeombia kiti cha uraisi ili Mungu atawale na haki yake na mapenzi yake ni ngumu kuumia kwkuwa unajua mapenzi ya baba yako ni bora kuliko yako ,sasa kama mtu hajaomba ipasavyo hiyo ni ishu nyingine.
  no wonder huduma ya unabii inakua kwa kiasi sana mana watu tunataka utabiri kuliko kumuuliza Mungu mwenyewe. barbarians walikuwa wanaenda kuangalia kila andiko wakipewa na Paul.
  ila kanisa kila maneno ya facebook,whatsapp,tv hata hujui kama la Mungu au la unakula tuu…..kwakweli tutavimbiwa kiroho kwa kuchanganya kila desa bila hata kumuuliza Mungu.

  miracles should impress and attract unbelievers…..Mungu atusaidie tutafute kumsikia yeye zaidi.

 2. Mimi naamini kuwa wachungaji wengi walitoa utabiri kwa kufuata hisia zao na sio kuwa Mungu aliwaambia kusema waliyosema. Mungu habahatishi wapendwa. Yeye hutangaza mwisho tangu mwanzo. Mazingira yapi yameleta nini, wala hilo sio la muhimu maana njia zake sio njia zetu.
  Tuwe makini na huu upepo wa nabii za leo zilizo nyingi zimekuwa za mwilini sana wala sio za rohoni.

 3. Mile hata mimi nashangaa kwanini ilitokea hivyo sielewi mpaka leo,,, wengine walienda mbali zaidi wakasema “nauchungaji nitaacha”

  Hatuna budi kukubaliana na matokeo ingawaje ni ngumu lkn ndiye tuliyekuwa tunakesha makanisani na kufunga na kuomba sana ili Mungu atupe Rais. Mungu alimtambua Ndg Pombe JJ Magufuli kabla yakuumbwa kwa misingi ya dunia.Tuendelee kumtegemeza kwa maombi ili atende haki na Amani ya nchi yetu idumu.

  Mungu mbariki Rais wa Tanzania Dr Pombe JJ Magufli
  Mungu Ibariki Tanzania

 4. HIVI KWA NINI WACHUNGAJI WENGI WALIAMUA KUMTABIRIA MGOMBEA MOJA ZAIDI YA MWINGINE.

 5. ni kweli japo bado hajaapishwa, ni mchezaji aliyetokea bench baada ya kocha mkuu mh. rais kutazama kuwa anaweza kuipandisha timu akamweka kati,naye magufuli kaitumia nafasi vyema kapiga mpira wavuni,watz tuwe na imani na mh. magufuli tumwombee atimize aliyoahd.

 6. japo bado hajaapishwa, lakini ndiye mshindi asiyetabilika tangu mwanzo,haikuaminika kama angechukua fomu,””mchezaji aliyetokea benchi”” ndiye aliyebadili mchezo na kuipatia timu ushindi simon msuva,malimi busungu,jonas mkude,au john boko?? sasa ni dck. john magufuli asietarajiwa kuingzwa ktk mpambano lakin baada ya Mh. Jakaya kikwete Kutazama sana akaona magufuli atafunga na kuinua timu kuiweka kileleni kama yanga sc au man cty, hiyo ndiyo sub ya kikwete kocha mkuu. ni mara ya pili mwalimu anaongoza nch tunategemea makubwa ya busara,haki na upendo kwa wote. HAPA KAZI TU. huyu ndiye rais wetu haijalish yuko ccm, tumwombee afanye kweli. au je wana strictly gospel?

Andika maoni yako

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s