Washukiwa 7 wa uchawi wauawa TZ

uchawiPolisi nchii Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa katika eneo la Kigoma magharibi mwa nchi hiyo kwa tuhuma za uchawi.

Nyumba za marehemu hao pia zinaripotiwa pia kuchomwa.

Polisi anayeesimamia eneo hilo amesema zaidi ya wanavijiji 20 wanaotuhumiwa kushiriki katika kitendo hicho cha kuwashambulia marehemu hao wametiwa mbaroni.

Shirika moja la kutetea haki za binadamu lasema zaidi ya watu 500 hasa wazee huawa nchin humo kila mwaka kwa kudhaniwa kuwa wachawi.

–BBC

Kanisa tupo????

Advertisements

Matangazo tiba asili marufuku!!

Baraza la Tiba za Asili na Tiba Mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari kwa kile kilichoelezwa kuwa yanapotosha jamii.

Taarifa iliyotolewa na kwa vyombo vya habari , imeeleza kuwa katika siku za karibuni kumekuwapo na matangazo mbalimbali ya tiba hizo ambayo baadhi yake hayaisaidii jamii.

Kutokana na taarifa hiyo ya baraza, vyombo vya habari havipaswi kupokea kibali chochote cha kutangaza matangazo ya tiba hizo hivi sasa, kwa kuwa ni batili.

Pia taarifa hiyo inaeleza kuwa, chombo chochote kitakachorusha tangazo au kipindi kitatozwa faini na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.

naye mtaalam wa tiba asili, tabibu Rahabu Rubago ameiambia BBC kuwa hatua hiyo ya Baraza imetolewa bila wao kupatiwa taarifa hiyo mapema na kueleza kuwa watapata hasara kwa kuwa baadhi yao wametengeneza vipindi tayari kwa ajili ya kuvirusha kwenye vyombo vya habari.

–BBC

At least 44 dead in Nigeria church building collapse, official says

People search for survivors after a church building collapsed in Lagos, Nigeria.

(CNN) — At least 44 people were crushed to death when a guesthouse at a large church that’s home to a famous Nigerian preacher collapsed in Lagos, a rescue agency official said Sunday.

In addition to those killed, there were “130 rescued from the rubble of the collapsed guesthouse at The Synagogue, Church Of All Nations,” Ibrahim Farinloye, spokesman for the National Emergency Management Agency, told CNN. “The toll may increase as rescue operation is still ongoing because many people are believed to be trapped under the rubble.”

The two-story building is located in the expansive compound of The Synagogue, Church of All Nations, run by televangelist T.B. Joshua in the Ikotun area of Lagos, said Farinloye.

The building came down Friday afternoon amid expansion work on three additional floors.

The rescue operation was delayed by the refusal of members of the church to allow emergency workers from NEMA access to the collapsed building.

“The church members were very aggressive and tried attacking emergency responders,” Farinloye said.

Reporters covering the incident were attacked by angry church members, who vandalized a TV camera as a cameraman tried to capture footage of the collapsed building, reporters at the scene said.

Joshua told Nigerian newspapers Sunday that a low-flying aircraft had been repeatedly circling the building and may have been responsible for the building collapse.

NEMA’s Facebook page acknowledged the sabotage reports but also noted that two stories were being added to the building without fortifying the foundation of the initial structure. There is a “high probability” this is what caused the collapse, NEMA said, adding that an investigation will ultimately determine the cause.

Joshua, dubbed “The Prophet” for his self-acclaimed healing powers and prophesies, has a large following among Nigerians and followers across the world.

His church attracts thousands of followers who attend his church every week to listen to Joshua’s sermons, which are also telecast live on the church’s television station.

“People travel from around the world to witness and receive from the mighty work that God is doing in the life of Prophet TB Joshua,”according to the church’s website.

Nana Karikari-apau

Serikali Nigeria yakataza wagonjwa wa Ebola wasipelekwe kanisani Kuombewa!

Wakati watu wakiendelea kufa na Ugonjwa wa Ebola ukishika kasi kutoka nchi za Afrika Magharibi. Viongozi wa serikali Lagos, Nigeria Wizara ya afya na Serikali ya Shirikisho wametembelea kanisa la Synagogue Church of All Nations (SCOAN) na kuomba ushirikiano wa mtumishi TB Joshua kwamba waathirika wa Ebola wasiletwe kanisani kwake kuombewa.

 church for healing.

NB: Magonjwa, dhiki, Utekaji nyara, njaa, mauaji, vita nk…hizi ni dalili za siku mwisho. Hatuna budi kuomba kwa bidii. Tusimame Imara katika Imani, tukimngoja Bwana!

Hongera Sister Rosemary Nyirumbe!

Sister Rosemary Nyirumbe TIME 100

Sister Rosemary Nyirumbe kutoka Uganda ameingia kwenye orodha ya Time magazine’s 2014 ” list of the world’s 100 most influential people” amewakilisha kuwa mtawa wa kwanza mweusi mkatoliki. Japokuwa watu wengi hawafahamu lakini amevunja rekodi hii inayopaswa kupongezwa hasa kwa juhudi anayofanya kusaidia jamii ya nchi yake kwa moyo wa kujitolea na upendo.

Mtawa huyu ni wa kwanza na mweusi jina lake kutajwa katika orodha hii ya kifahari ya viongozi wa dunia. Si jambo dogo!!


			

Useja wa mapadri sasa katika mjadala, wanawake nao ruksa kuwa maaskofu.

askofu

Wimbi la mabadiliko hayo limeyakumba makanisa hayo mawili baada ya viongozi wao wakuu kulazimika kufanya maamuzi mazito juu ya mapadri na maaskofu wanaoyatumikia , ambapo tayari wanawake wameruhusiwa kuwa wachungaji na maaskofu, huku suala la mapadri kutoruhusiwa kuoa likipata ruksa ya kujadiliwa.

Wimbi hili la mabadiliko limekuja wakati mmoja, ambapo kwa upande wake kanisa Anglikana tayari limeruhusu rasmi wanawake kuwa wachungaji na maaskofu , wakati kanisa katoliki nalo limeruhusu mjadala juu ya ama mapadri wake waendelee na utaratibu wa kutooa au waoe.

Vyombo vya habari vilielezea tukio hilo kama moja ya matukio makubwa katika karne ya 21 kwa kanisa Anglikana, lililoanza tangu miaka 20 iliyopita na hatimaye kukamilika hivi karibuni.

Shirika la habari la kimataifa la sky News limemkariri Askofu Welby akisema kuwa amefurahishwa sana na matokeo ya kura hizo na kwamba ni mwanzo mzuri wa shughuli kubwa ijayo.

Nayo Televisheni ya kimataifa ya CNN katika moja ya vipindi vyake vilivyoripotiwa juu ya tukio hili ilibainisha kwamba huenda kanisa Anglikana likawa na maaskofu wengi wanawake kuanzia mwishoni mwa mwaka huu.