Album 2 kuzinduliwa Dar kiingilio kununua DVD tu!!

ab

*********IT’S ON**********

Ni Uzinduzi wa album mbili kwa pamoja. Yaani NEWDAY by Angel Benard na ONGOZA by Godsave Sakafu, wakisindikizwa na waimbaji kama Bomby Johnson, Paul clement, Miriam Lukindo, Jessica BM, Tumaini Njole, Christopher Wa “Mungu ni Mungu tuu”, El-andre Na wengine weengi.

Isaya 61:1.
KIINGILIO: NI KUNUNUA DVD TUU!!
MAHALI: Posta jengo la PSPF au Golden tower.

Kwa maelekezo zaidi jinsi ya kujipatia Tshirt au maelekezo zaidi kuhusu uzinduzi piga simu 0759444488

Advertisements

Arusha Lunchtime prayers with PASTOR CHUMA

chumaa

Arusha ni jiji la Kitalii Tanzania na linajulikana sana kwa sababu Babu wa Loliondo alitoka Arusha.

Sasa Katikati ya Jiji kuna CHUMA moto cha INJILI na kila mchana saa sita na nusu hadi saa nane kuna HUDUMA YA MAOMBEZI ARUSHA inayoongozwa na Pastor Chuma.

Kama Uko jijini Arusha ungana nasi kila mchana Jumatatu hadi Ijumaa na Jumapili saa nane hadi saa moja jioni karibu kwenye Ibaada

WASILIANA NA PASTOR CHUMA ARUSHA TANZANIA NAMBA

Mkutano Mkubwa wa Injili IFAKARA – 13-19 Oct 2014

ifakara

WALETE WAGONJWA NA WENYE MATATIZO MBALIMBALI WATAOMBEWA NA KUPOKEA KWA JINA LA YESU KRISTO.

 

 

Advertisements

Daniel Kulola na Masanja Mkandamizaji Kupiga Injili Washington DC! 31 May -1 June 2014

DanielKulolaMay31

Advertisements

Mkutano wa Askofu Dunstan Maboya USA April 17-20, 2014

BishopMaboya

Watu wote mnakaribishwa kwenye mkutano mkubwa wa Askofu Dunstan Maboya utakaofanyika Dallas, TX, ni tarehe 17-20, April 2014. Kwa maelekezo zaidi wasiliana na Pastor Emmy, 214-226-8249 Karibu na wajulishe wengine,

Baada ya Texas, watu wa Arizona kuanzia tarehe May 27 – June 1st msipitwe wasiliana na Bishop Kabamba kwa simu 602-332-9965!

Wakazi wa DMV, Pennsylvania kaeni tayari wasiliana na Mary kwa simu 484-751-7038

Advertisements

Dr. Daniel Kulola Kufanya Mkutano wa Krismas Maryland!

Rev.Dr. Daniel Moses Kolola's December 2013 Conference - Washington DC

Karibuni sana.

Advertisements