Ukishindwa, Ongeza Uwezo!

Nakumbuka ilikuwa ni tar 29/9 mwaka huu, nilipoamka asubuhi, nikiwa ninawaza juu ya baadhi ya mambo ambayo niliyafanya lakini nikashindwa. Nikawa najiuliza ni kwanini nilishindwa ? Je ni kwa vile yale mambo hayawezekani ? Nikasikia sauti ndani yangu inaniambia sio kwamba hayawezekani, kuwezakana yanawezekana ila uwezo wako ni mdogo. Unachotakiwa kufanya ni kuongeza uwezo sawa … Continue reading

Kuokoka vs Kutenda Dhambi

  Biblia katika 1Yohana 5:18 inasema hivi: “Twajua ya kuwa kila mtu aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi; bali yeye aliyezaliwa na Mungu hujilinda, wala yule mwovu hamgusi” Swali lililopo hapa ni kwamba: a). Hivii, Mtu AKIOKOKA huendelea tena KUJIZUIA kutenda dhambi au HUWA HAJISIKII kufanya dhambi kwa kuwa msukumo wa kutenda dhambi haumo ndani yake?? … Continue reading

KABLA HUJAMWOMBA MUNGU AKUPE KIATU, MSHUKURU KWANZA KWA KUKUPA MGUU WA KUVALIA HICHO KIATU.

Kuna baadhi ya maombi hauwezi kumwomba Mungu kama huna kitu fulani. Kwani kuna baadhi ya vitu ukiwa navyo ndivyo vinavyokuwezesha kuomba maombi hayo unayaomba. Kwani bila hicho kingine kuwepo, hata ukipata hicho unachoomba hauwezi kukitumia. Inawezekana umemwomba Mungu akupe kiatu cha kuvaa lakini hadi leo hajakupa, lakini mshukuru Mungu kwa kukupa mguu wa kuvalia kiatu, … Continue reading

WAFU WANAOTEMBEA

WAFU WANAOTEMBEA

WATU WA JINSI HII NI WAFU WANAOTEMBEA; INAWEZEKANA NA WEWE NI MMOJA WAO !! Moja kati ya kauli zenye kutatanisha ambazo Yesu aliwahi kuziongea ni hii ambayo Yesu alimwambia mwanafunzi wake “WAACHE WAFU WAWAZIKE WAFU WAO” (Mathayo 8:22), mara baada ya mwanafunzi yule kumwomba Yesu ruhusa ya kwenda kumzika baba yake. Hii kauli katika akili … Continue reading